Utani: Unauonaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utani: Unauonaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by platozoom, Sep 18, 2012.

 1. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Ukiachilia mbali Jukwaa hili kuwa na thread za mapenzi kwa sana lakini pia linahusu mahusiano yetu pia hata kama si ya kimapenzi. Na hapa nalenga kwenye utani wa makabila yetu. Pengine siku hizi vijana hatuzingatii saana utani huu lakini mimi binafsi huwa nafurahishwa sana napoona watu wanataniana (utani wa wa jadi).

  Kama Msukuma/Mnyamwezi na Mzigua,Mbondei, Mgogo, Mngoni, Mhehe, Mzaramo n.k. ( Fixed Point/ Mzee Mwanakijiji V/S Kaunga na Sikonge

  Mzaramo/mdengereko na Kwa Mngoni na Mmakonde ( hapa kuna Mwanamtoka pabaya V/S Zinduna)

  Mkurya na Mnyiramba ( Mwita Maranya V/S Mwigulu Mchemba)

  Mjaluo kwa Mhaya ( @nyakwariantony V/S Bishanga)

  Ukiachilia mbali mifano hiyo (inaweza kuwa kweli 99%), bado wapo wanaoendeleza utamaduni huu wa utani na labda niulize kama bado ina maana yeyote zama hizi........Ingawa nasikia (sina hakika) kwamba makabila ya Kihamitiki hayana uatamaduni huu wa utani wa kimakabila.

  Karibuni.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  umekimbilia huku enh!well mi napenda sana utani wa makabila lakini kwa hii jamii ya sasa tuliyonayo hili halina nafasi sana maana tumechanganyana sana makabila na pengine hata watani hatujuani,yani kabila gani ni mtani wa kabila gani!
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  platozoom si bure kuna kitu anavizia mmu....mara oh utani mara nini ...si aseme tu.....lakini bora iwe salama kitendea kazi kwa kwenda mbele.
  mi bana mtani wangu Nyani Ngabu...yaani mpaka mkewe nimechukua jumla yeye anachekacheka tu ka babujinga.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  I love it! Inasaidia kujua makabila ya watani wetu, na ina historical dimention muhimu sana.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Khaaa! wewe wewe wewe...!!

  Mkeo ndo dem wangu na tena ana mimba yangu lakini kulea utalea wewe. Nani mjanja hapo?
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Nasikia phina majuzi kashinda miss ilala,ya kweli hayo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mimi hata kama makabila yetu hayana utani ila ntakuwa mtani wako tu hata kinguvu nguvu
   
 8. DSpecial

  DSpecial JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkubwa, wasambaa umetutenga hapa.....
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mnyamwezi nipo hapa
   
 10. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nimesema kuna historical dimention katika utani, because mara nyingi utaskia alie anzisha kabila hili alikua mtumwa-mchumba-kaka-dada wa kabila lile, then wakatengana au wakaamua kuanzisha kabila lao kwa sababu hili na hili. Then pia katika utani unagundua kumbe kabila hili lina madhehebu haya na yale. Sasa huu utani wa kuanzisha kati ya watu wawili ni utani wa makabila tena au ndio gia za kutaka kunijua?
   
 11. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mna utani wowote na Wamanyema?
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Wanyamwezi wanataniana na makabila yote TZ
  kuna usemi 'mzigo mzito mpe mnyamwezi abebe'

  so wamanyema ni mashemeji na wake zetu.....lol
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Oh, no wonder...
   
 14. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,693
  Likes Received: 8,223
  Trophy Points: 280
  Kama mchaga na mpare??! Tuliwapiga wale wakimbilia milimani kwenye miamba ndo maana wakaitwa WAPARE...kwa maana ya kichaga ni wapige.lol
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha, nimekupenda bure.

   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwa nini mkeo anakuita wewe Ngabu?
   
 18. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  habari njema hii..........
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  una uhakika??
  Tohanchane Mura

   
 20. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mh tatigha mbane...mbuya rakini??
   
Loading...