CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,729
- 5,918
jamani hii imenitokea na hakika nimejilaumu sana tusipende utani... kuna dada nilikutana nae kwenye gari (city bus) hapa dar, ktk maongez kumbe tumesoma chuo kimoja, bas tukazid kugandana na mawasiliano full na kwakuwa tunakaa eneo moja basi tukawa tunasubiriana kituoni na nikiri kuwa amenilipia sana nauli...bas mimi nilimuambia wazi kuwa ninategemea kufunga ndoa hivi karibun yeye akasema yuko wimbo (singo) tuliendelea kupeana kampani ukizingatia mchumbaangu yuko mbali...siku moja akanitext "unajua kucare sana yaani unacheza nafasi fulani hivi ingawa siyo" kwa UTANI nikareply "unaonaje nikaicheza kweli hadi mwenyewe atakapokuja?" akajibu sawa!! tangu siku iyo na ndevu zangu nikaanza kuitwa baby!! imeenda kumbe mwenzangu kamaanisha mi kuona hivyo nikamuambia "nisamehe sijawah kufanya hivyo tubaki marafiki tu!" akagoma na kudai hatanisamehe NEVER! na hataki kuniona tena ananichukia!! nimemuomba msamaha kagoma kunisikiliza!! nafanyaje!?