Utani mwingine sio mzuri

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
i1154_10842107987597608518018770511612561833730n.jpg


we acha tu!
 
trained dogs, hawafanyi kitu bila komandi hao, na hiyo ilikuwa part ya mtihani wao
 
Nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya, maana wewe upo!
Shida ni kwamba watu hawajui hatari zinazowakabili at any time wapitapo popote!
Yamkini wewe wajiona salama, lakini kwa macho ya kiroho umezungukwa na wadudu wabaya kuliko mbwa rafiki!
 
Back
Top Bottom