Utani mwingine bwana??!!

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,147
2,000
Kuna mambo huwa tunayafanya kama funny lakini mwisho wake yanatupeleka pabaya sana. Sasa hebu niambie incidence kama hii. Huku si kujitakia kweli?

[video=metacafe;3313690/go_to_bed_still_laughing/]http://www.metacafe.com/watch/3313690/go_to_bed_still_laughing/[/video]
 

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,775
2,000
Kwa tafsiri ya harakaharaka inatatanisha!inaonekana ni kama changudoa aliyekurupuliwa na hatari ya moto,alipokuwa anafanya ukahaba!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom