Elections 2010 Utangazwaji wa Matokeo

Kishazi

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
539
259
Wana JF, Kuna tetesi kuwa CCM wana mpango usiofaa wa kuchakachua idadi ya kura katika majimbo ya Kawe na Ubungo na wanachelewesha kutangaza matokeo ili wapate akili ya namna ya kufanya ubadhirifu kwa mara nyingine. Kama kuna mwana JF amesikia confirmed news kuhusu Ubungo na Kawe plzzzzzzzzzz atuarifu. Nasikia Tundu Lisu naye ameshinda, kuna mwenye habari za uhakika..?? Vp Arumeru...??
 
Ubungo, NEC wanafanya mbinu ya kujumlisha matokeo kwa uvivu wa system zao ili kuchakachua lakini MPAKA KIELEWEKE. Matokeo ya vituo ambavyo chadema imejumlisha tayari J.J.MNYIKA anaongoza kwa zaidi ya kura 16,0000.

hii ni mbinu pia ya kuchakachua kura za uraisi maana JK ametoa maelekezo kwa tume imlindee kama wabunge wake wanaanguka hana tabu sana ila muhimu yeye kushinda.

Tunakomaa nao bado hapa ndani kujumuisha na pende tutakamilisha ngazi ya ubunge na kuanza ya uraisi..tumechoka ila matumaini tunayooo sana.
 
Back
Top Bottom