Elections 2010 Utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu tanzania

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,001
112,646
Nimevumilia weee lakini nimeshindwa. Sasa inabidi niseme nitoe dukuduku langu. Sisi miafrika tuko mijitu ya ajabu sana. Kamwe hatuwezi kuendelea. Kuliangalia lichakachuaji in charge (lewis makame) likisoma matokeo ya uchaguzi kwenye kikaratasi ni sawa na kuangalia rangi iliyopakwa ukutani kukauka i.e.boooring. Hivi kweli hatuwezi kuwekeza kwenye mfumo na utaratibu ulio bora na wenye ufanisi ktk kutangaza matokeo ya uchaguzi? Yaani hata hilo litushinde? Marekani jana walikuwa na congressional elections lakini tayari kitu na boksi. Brasil tayari wana raisi mteule. Sisi bado tunasoma matokeo kwenye vijikaratasi. Smdh
 
Utadhani kama wanafanya makusudi vile.... grrrrrrrrrrrr
 
Na ndiye anayeaminiwa utadhan amepata hayo matokeo toka kwa MALAIKA. mi nadhani wanaona ile sura yake ya uzee itaweka msisitizo na matone ya hekima kwenye matamshi yake. Otherwise teknolojia ye2 ni ya stone-age.
 
......Hata mie nashangaa sijui ndio umasikini wa technology za kisasa za kuhesabia kura au ndio wanafanya uchakachuaji......tokea jumapili hadi leo matokeo ya urais bado na wakati USA wamefanya uchaguzi jana na matokeo jana hiyo hiyo yametoka.....Brazil nako matokeo zamani yametoka....yaani hii nchi inabore sana tuna safari ndefu ya kwenda.
 
Wangekua hawachakachui kungekuwa hamna haja ya kusoma vijikaratasi mpaka mijasho inawatoka kwa wasiwasi, matokeo yangekuwa yanatoka moja kwa moja kule vituoni na kuji-update kwenye central database, Kivaitu angeonekana tu siku ya mwisho ya kumtangaza mshindi kama formality.

Lakini kwa tamaa na ujambazi wao wakipata matokeo sahihi ya vituoni wanakaa kwanza na kuanza kuchakachua kabla ya kuyatangaza ndio maana wanachukua mda mrefu.

Ni wazoefu wa uchakachuaji unakumbuka pale fisadi wa Kisomali alipochakachua zile risiti za matumizi ya ndege ya serikali ya mke wa Mkwere...
 
......Hata mie nashangaa sijui ndio umasikini wa technology za kisasa za kuhesabia kura au ndio wanafanya uchakachuaji......tokea jumapili hadi leo matokeo ya urais bado na wakati USA wamefanya uchaguzi jana na matokeo jana hiyo hiyo yametoka.....Brazil nako matokeo zamani yametoka....yaani hii nchi inabore sana tuna safari ndefu ya kwenda.

Teknologia ya kuhesabu kura ni simple sana, hizo ni project za wanafunzi wa mwaka wa pili diploma ya uhandisi wa IT....
Wametumia mabilioni ya fedha zetu kununua vifaa vyote lakini wanaogopa teknolojia itawaumbua....
 
hivyo vizee (makame na kilavu) vya nec sura zao 'zinakula sahani moja' na ya robert mugabe. ninaposikia sauti zao huwa sipendi hata kuona sura zao. Sijui waliokotwa wapi?
 
HIVI wana JF SNIPER ile bunduki yenye kulenga toka umbali mrefu inauzwa bei gani???? naona lazima tufundishane adabu
 
Shida utaijua siku ikibisha hodi kwako,ooh eti TZ kuna amani,wizi,ujambazi.Nampongeza mtoa mada ni muda Watanzania tufikirie jinsi ya kupambana na ujangili huu,hivi kweli tusubiri miaka mitano tena kwa hili hii,na watu hawa?Slaa amesema anataka zileletwe zile karatasi za matokeo kutoka majimboni sijui kama mnaelewa maana yake,ni ili zilinganishwe na hayo matangazo ya huyo mzee Lewis.Hilo ndio jibu la msingi na majibu ya kweli yatapatikana yukipigania hilo>
 
hivyo vizee (makame na kilavu) vya nec sura zao 'zinakula sahani moja' na ya robert mugabe. ninaposikia sauti zao huwa sipendi hata kuona sura zao. Sijui waliokotwa wapi?

Mithili ya homosapiens wa kwenye text books
 
HIVI wana JF SNIPER ile bunduki yenye kulenga toka umbali mrefu inauzwa bei gani???? naona lazima tufundishane adabu

ha ha ha!! hiyo kali, mie ninalo gobole nyumbani, nasubiri tu CHADEMA watangaze maandamano nijunge na gobole langu, walahi siogopi kufa ili nchi iwe na adabu.
 
Analog ndiyo njia pekee atumiayo jambazi kuingia ndani ya nyumba yenye mfumo wa digital.
NYANI NGABU. fahamu kwamba nyani will always be nyani hata umuunge kwa kitunguu na nazi.
hawa wangese wanahitaji kushikishwa adabu.

I HATE JK big time
 
hakuna mtu wa kuwajibika ,,,wote wapo wapo tu ,,kipindi chote cha miaka mitano tume inafanya nini cha maana ? wanashindwaje kuimport technology ? kila kitu wazungu washafikiria na sisi tunatakiwa tu kutumi lanini tunashindwa
 
Analog ndiyo njia pekee atumiayo jambazi kuingia ndani ya nyumba yenye mfumo wa digital.
NYANI NGABU. fahamu kwamba nyani will always be nyani hata umuunge kwa kitunguu na nazi.
hawa wangese wanahitaji kushikishwa adabu.

I HATE JK big time
:rip::A S angry::A S angry:
 
Analog ndiyo njia pekee atumiayo jambazi kuingia ndani ya nyumba yenye mfumo wa digital.
NYANI NGABU. fahamu kwamba nyani will always be nyani hata umuunge kwa kitunguu na nazi.
hawa wangese wanahitaji kushikishwa adabu.

I HATE JK big time

halafu eti kuna watu wanadiriki kusema 'bongo nyu yoki'. Sina hakika wanatumia vigezo gani. Labda vi fast food joints na vi burger joints lol. Kuna kipindi nilionaga subway hapa bongo. Sijui bado ipo ile
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom