Elections 2010 Utangazaji wa matokeo wa NEC unalenga kuwaandaa watanzania kumkubali JK....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
NEC imetangaza majimbo tisa na mwelekeo ni kujaribu kuonyesha JK atashinda ushindi wa kishindo kutokana na uchaguzi wa majimbo wanayoyatangaza.katika ya majimbo tisa waliyoyatangaza Dr. SLaa kashinda jimbo la Bukoba mjini kwa ushindi mdogo sana huku akifuatiliwa kwa karibu na JK........La kushangaza ni JK kumbwaga Dr. Slaa katika jimbo la Babati mjini.....binafsi ninaona kuna ugumu wa kuyakubali hayo matokeo...........Prof. Lipumba ametesa kwenye majimbo manne huko Pemba.

Lakini matoeko haya ni maeneo ambayo hayana wapigakura wengi yaani JK kashinda njombe ya Kusini yenye wapigakura karibu 27,000 na alipata kura 22, 337 wakati Dr. Slaa 6, 848...........JK alipata Babati Mjini JK 12, 696 na Dr. Slaa 7,583.........Mtwara Mjini JK 18, 087 na Dr. Slaa 4, 415.........Bukoba Mjini JK.......15,410 na Dr. Sla zaidi ya elfu 16.......Singida Mjini........Jk............19,246...................Dr. Slaa 5,266
 
Kiravuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,Kumbuka ata Mungu is watching your tonque
 
Halafu wanadai itachukua masaa matatu kutangaza matokeo mengine..... wanafanya hivi kidogo kidogo wakati huo wakisambaza wanajeshi na maaskari nchi nzima "kutuliza fujo" za wanaopinga matokeo
 
NEC imetangaza majimbo tisa na mwelekeo ni kujaribu kuonyesha JK atashinda ushindi wa kishindo kutokana na uchaguzi wa majimbo wanayoyatangaza.katika ya majimbo tisa waliyoyatangaza Dr. SLaa kashinda jimbo la Bukoba mjini kwa ushindi mdogo sana huku akifuatiliwa kwa karibu na JK........La kushangaza ni JK kumbwaga Dr. Slaa katika jimbo la Babati mjini.....binafsi ninaona kuna ugumu wa kuyakubali hayo matokeo...........Prof. Lipumba ametesa kwenye majimbo manne huko Pemba.

Lakini matoeko haya ni maeneo ambayo hayana wapigakura wengi yaani JK kashinda njombe ya Kusini yenye wapigakura karibu 27,000 na alipata kura 22, 337 wakati Dr. Slaa 6, 848...........JK alipata Babati Mjini JK 12, 696 na Dr. Slaa 7,583.........Mtwara Mjini JK 18, 087 na Dr. Slaa 4, 415.........Bukoba Mjini JK.......15,410 na Dr. Sla zaidi ya elfu 16.......Singida Mjini........Jk............19,246...................Dr. Slaa 5,266

Mkuu, mpaka hapo mie naona ni sawa kwani jana usiku nilikuwa nafuatilia na majimbo ya Singida, Babati na Njombe Magharibi yalionyesha mwelekeo huu.
Ila kwa kuwa huko si ngome ya CHADEMA inatia matumaini kwani kwenye ngome jana walikuwa wanaonyesha mchuano mkali japo margin bado ni ndogo, CHAEMA wakikaribiana sana na CCM
Hata majimbo ya Singida na Babati yameenda kwa CCM, si unajua wale vigogo wanaogombea huko na umasikini wa watu wa huko ni rahisi sana kudanganywa. Hayo majimbo watu wengi hawaendi shule kwa ajili ya umasikini wa kutupwa na jadi. Mara nyingi ndiyo tegemeo ya watoto wa kazi (sio tusi ni ukweli) wa miji ya kaskazini. Ukipata msichana wa kazi na ukamuuliza kama anjua kusoma anakuambia alifaulu sekondari ila wazazi walishindwa kulipa ada (195,000/-) shule za kata. Inauma sana kwani huu ujinga na umasikini wa watu ndiyo mtaji wa Majizi ya Chama cha Masultani!
Tutegemee matokeo mengi ya namna hii mikoa ya pwani ,kati na kusini. It opains , but that is the truth!
 
Wasituchagulie wa kutuongoza, ole wao.Mimi naona wanasua sua tu kutangaza matokeo baadhi ya maeneo wapinzani waliposhinda, wanatangaza pale CCM waliposhinda tu! Ole wao, naskia hata Ubungo, Arusha, Kawe, Nyamagana bado wanasua sua. Ole wao Ole wao!
Wanang'ang'ania uongozini kuna nini kwenye huo uongozi??????????
Kikwete kashindwa kuongoza nchi, analazimisha kurudi ikulu kufanya nini???????
Chonde chomde wajameni, chonde chonde....!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
jamani tuna deal na facts, sasa kama mnabishana na facts mtakua mnajidhalilisha, sasa kama hamkubaliani na Kiravu kunyweni sumu mfe
 
Kisaikolojia wanataka tukubaliane but Time will Judge!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
We will cross that bridge when we come to it, we acha tu wachezee kibiriti kwenye tank la petrol.....!
 
WASHKAJI NILIKUWA NASKILIZA NEC LIVE KTK ITV,Dah HALI SI SHWALI KWA WANAMABADILIKO, NA NAZANI YALE MAJIMBO CCM WALIOCHAKACHUA MATOKEO YAKE YAMEFIKA NEC MAPEMA,ILA MAJIMBO YALIYOKO Mikoa KAMA MWNZA KILIMANJ SHINYANGA MBEYA MUSOMA NAONA BADO MCHAKATO WA KUCHAKACHUA BADO UNAENDELEA:nono:. pamoja
 
jamani tuna deal na facts, sasa kama mnabishana na facts mtakua mnajidhalilisha, sasa kama hamkubaliani na Kiravu kunyweni sumu mfe
magnet1
user-online.png
Junior Member Join Date Mon Nov 2010Posts 5
 
Sasa naanza kupata mantiki ya kauli ya Gen. Shimbo. Kwa hiyo JK na majambazi wenzake wameamua kuchakachua kura na watu wakihoji wawachinje .KIKWETE ELEWA KUWA HIZO RISASI NA MABOMUN UNAYOKWENDA KUWAVURUMISHIA WATANGANYIKA WASIOKUWA NA HATIA YAMENUNULIWA KWA KODI ZETU ILI YATUMIKE KUTULINDA NA KAMWE SIYO KUTUUWA. OLE WAKO DAMU YA WATANGANYIKA ITAKYOMWAGIKA KWA AJILI YA KUENDELEA KUKUWEKA MADARAKANI(KAMA ALIVYOTABIRI SUMAYE), ITAKULILIA DAIMA.
 
jamani tuna deal na facts, sasa kama mnabishana na facts mtakua mnajidhalilisha, sasa kama hamkubaliani na Kiravu kunyweni sumu mfe
KUFA KWANZA WEWE **** WA KUTUPWA THEN TUTAFUATA SISI ...usidhani kila mtu anamapungufu ya kufikiria kama wewe Mothe....F..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom