Utanashati, umaridadi, usafi, uzuri kipi ni muhimu?

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,670
Mara nyingi huwa nasikia maneno haya umaridadi, utanashati, uzuri, usafi yakitajwa kama vitu ambavyo vina 'add value' kwenye mahusiano.

Sasa; Je, hivi ni kwamba maneno haya ni synonymous? Kama sio, kipi ni muhimu zaidi kwenye mahusiano?
 
mara nyi gi uwa nasikia maneno haya umaridadi, utanashati, uzuri, usafi yakitajwa kama vitu ambavyo vina add value kwenye mahusiano. sasa je hivi ni kwamba maneno haya ni synonymous?? kama sio kipi ni muhimu zaid kwenye mahusiano??
I Dont Know if they're synonymous but
  1. utanashati applies to men
  2. umaridadi applies to women
  3. uzuri depends on beholder lakini sio muhimu sanaa, i dont demand mpenzi mwenye nywele au wowowo kama kwenye avatar yako (lol) etc hata wa 'kawaida' anakubalika.
  4. usafi ni muhimu, siwezi kuwa na mtu anayerudia nguo, no perfume, hajitunzi. ukiwa msafi then #1 and #2 zinajileta zenyewe.
  5. i would rank as usafi>utanashati/umaridadi>uzuri
 
hapo red dogo jiangalie ohooo!
nimependa ulivyoelezzea but nina kaswali kengine kwani mtu msafi huwa maridadi au mtanashati??
 
ikiwa unataka kutumia kimojawapo kama kigezo cha kuingia katika mahusiano, basi niseme hapo hakuna hata kimoja.....

Kwa wengine vitu vyote hivyo ni viko ndani ya maumbile na hulka zake za kuzaliwa na wengine hujifunza kwa muda tu kwa ajili malengo fulani kama kupata ajira, kupata cheo, kupata mpenzi, n.k. hivyo mtu huyu anakuwa artificial zaidi..

Kwa ajili mahusiano yaliyopo tayari hivyo nakubali vinaweza ku-add value lkn si vya msingi sana katika kufikia uamuzi wa kuingia katika mahusiano.......
 
utajuaje kama nyoka ana mimba?

hahahahh! utamuona kavimba tumbo............ama. na hv mimba zake ni mayai basi yanajaa kweli. acha kuchakachua uzi wangu. mtambwambia cacico. shshshshsh!!!!!!!!! tulia hapo hapo.
 
Last edited by a moderator:
ikiwa unataka kutumia kimojawapo kama kigezo cha kuingia katika mahusiano, basi niseme hapo hakuna hata kimoja.....

Kwa wengine vitu vyote hivyo ni viko ndani ya maumbile na hulka zake za kuzaliwa na wengine hujifunza kwa muda tu kwa ajili malengo fulani kama kupata ajira, kupata cheo, kupata mpenzi, n.k. hivyo mtu huyu anakuwa artificial zaidi..

Kwa ajili mahusiano yaliyopo tayari hivyo nakubali vinaweza ku-add value lkn si vya msingi sana katika kufikia uamuzi wa kuingia katika mahusiano.......

dah! mkuu naona unazidi kunichanganya zaid hebu kwanza nijibie maswali yanu kisha ndo tuijie point hii.
 
sijakuchanganya; nimesema kama unataka kutumia kimojawapo kama kigezo za kuanzisha mahusiani, basi ni HAKUNA HATA KIMOJA kwa mtazamo wangu. ila kama ni kuendeleza/kuboresha uhusiano ambao tayari upo labda unaweza kuchagua chochote sioni kilichobora kuliko chengine......
 
ikiwa unataka kutumia kimojawapo kama kigezo cha kuingia katika mahusiano, basi niseme hapo hakuna hata kimoja.....

Kwa wengine vitu vyote hivyo ni viko ndani ya maumbile na hulka zake za kuzaliwa na wengine hujifunza kwa muda tu kwa ajili malengo fulani kama kupata ajira, kupata cheo, kupata mpenzi, n.k. hivyo mtu huyu anakuwa artificial zaidi..

Kwa ajili mahusiano yaliyopo tayari hivyo nakubali vinaweza ku-add value lkn si vya msingi sana katika kufikia uamuzi wa kuingia katika mahusiano.......

Kuna ukweli hapo. Kwa mfano, mwanaume mtanashati anaweza kudanganya chochote kwa mwanamke kama ana fedha na hata kumpeleka mwanamke kwenye chumba cha rafiki yake mwenye uwezo kwa kuogopa kumpeleka kwake atabadili uamuzi.

Kwa vile moyo wa mwanamke unapenda vitu vizuri hudanganyika kirahisi, akiisha timiza dhamira yake hamuoni tena hata akienda alipomuelekeza kwake ataambiwa pale si kwake aliomba kwa mazungumzo tu.

Kuna mpaka wezi "watanashati" depending on the meaning of the word, of course.
 
ahaa! mkuu Pet cash why so vague?? hebu nieleweshe zaid nielewe.
UTANASHATI NA UMARIDADI
a) Nadhani hii huja katika uchaguzi wa mavazi ya mtu, kuna anayependa nguo zinazobana sana, kuna anayependa zinazomkaa vizuri(fitting) na kuna anayependa nguo pana sana...
kwenye category zote mtu anaweza kupangilia mavazi na akapendeza sana.
But saa nyingine wa mavazi mapana anaona anayevaa yanayombana sana anatia aibu. Wa fitting naye akamuona wa mapana anazidiwa uzito na nguo.
b) Pia unaweza kupendeza lakini ukawa umevaa gauni la mtoko wa jioni mchana(hujui kupangilia mavazi)

Kwa mfano nadhani wanawake wanaovaa mavazi yanayoacha miili yao wazi wako very unreasonable na hawaoni madhara yake kabisa na mchango wao katika kuhamasisha ngono kwa ujumla.

UZURI
a) mfano mi namuona mke wangu ni mzuri sanaaa(literally she is a beauty) ila sina hakika kama rafiki zangu wanamuona ni mzuri kivile let alone wanaume wengine. Frankly napenda wasimuone mzuri sana ili nisijeingizwa matatizoni bure! Nadhani huu uzuri kuwepo kwenye jicho la mtazamaji husaidia pia pair zitengenezwe bila muingiliano sana(kupendwa kwa mtu mmoja na watu kadhaa)
-kwa hiyo uzuri inategemea na jicho la mhusika ila mtu akionwa mzuri na watu wengi sana basi huleta changamoto mpya kwenye mahusiano....mfano watu wengi husema ukioa/kuolewa na mzuri sana basi ni usumbufu mkubwa kwenye uhusiano.

USAFI
Nadhani wanaume wengi hupenda wanawake wasafi kama wanawake wengi wanavyopenda wanaume wasafi.
Uhusiano unaweza kuvunjika kwa harufu ya kwapa alone! (imagine mkeo ananuka kikwapa! dah!)
 
sijakuchanganya; nimesema kama unataka kutumia kimojawapo kama kigezo za kuanzisha mahusiani, basi ni HAKUNA HATA KIMOJA kwa mtazamo wangu. ila kama ni kuendeleza/kuboresha uhusiano ambao tayari upo labda unaweza kuchagua chochote sioni kilichobora kuliko chengine......

bado sikuelewi mm nimeuliz akama vinafanana ama la na kipi ni cha muhimu zaid.
 
UTANASHATI NA UMARIDADI
a) Nadhani hii huja katika uchaguzi wa mavazi ya mtu, kuna anayependa nguo zinazobana sana, kuna anayependa zinazomkaa vizuri(fitting) na kuna anayependa nguo pana sana...
kwenye category zote mtu anaweza kupangilia mavazi na akapendeza sana.
But saa nyingine wa mavazi mapana anaona anayevaa yanayombana sana anatia aibu. Wa fitting naye akamuona wa mapana anazidiwa uzito na nguo.
b) Pia unaweza kupendeza lakini ukawa umevaa gauni la mtoko wa jioni mchana(hujui kupangilia mavazi)

Kwa mfano nadhani wanawake wanaovaa mavazi yanayoacha miili yao wazi wako very unreasonable na hawaoni madhara yake kabisa na mchango wao katika kuhamasisha ngono kwa ujumla.

UZURI
a) mfano mi namuona mke wangu ni mzuri sanaaa(literally she is a beauty) ila sina hakika kama rafiki zangu wanamuona ni mzuri kivile let alone wanaume wengine. Frankly napenda wasimuone mzuri sana ili nisijeingizwa matatizoni bure! Nadhani huu uzuri kuwepo kwenye jicho la mtazamaji husaidia pia pair zitengenezwe bila muingiliano sana(kupendwa kwa mtu mmoja na watu kadhaa)
-kwa hiyo uzuri inategemea na jicho la mhusika ila mtu akionwa mzuri na watu wengi sana basi huleta changamoto mpya kwenye mahusiano....mfano watu wengi husema ukioa/kuolewa na mzuri sana basi ni usumbufu mkubwa kwenye uhusiano.

USAFI
Nadhani wanaume wengi hupenda wanawake wasafi kama wanawake wengi wanavyopenda wanaume wasafi.
Uhusiano unaweza kuvunjika kwa harufu ya kwapa alone! (imagine mkeo ananuka kikwapa! dah!)

ewaaaa! hapa umejibu vyema sana sasa hebu niambie kipi ndicho cha muhimu zaid??manake lazima kiwepo kimoja kinachomzidi mwengine. but utanashati ni sawa na umaridadi??
 
Kuna ukweli hapo. Kwa mfano, mwanaume mtanashati anaweza kudanganya chochote kwa mwanamke kama ana fedha na hata kumpeleka mwanamke kwenye chumba cha rafiki yake mwenye uwezo kwa kuogopa kumpeleka kwake atabadili uamuzi.

Kwa vile moyo wa mwanamke unapenda vitu vizuri hudanganyika kirahisi, akiisha timiza dhamira yake hamuoni tena hata ukienda alipokuelekeza kwake utaambiwa pale si kwake aliomba kwa mazungumzo tu.

Kuna mpaka wezi "watanashati" depending on the meaning of the word, of course.
EMT kwani mtu mtanashati yukoje? ama anasifa gani?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
EMT kwani mtu mtanashati yukoje? ama anasifa gani?

Mkuu PetCash kasema kuwa:

UTANASHATI NA UMARIDADI
a) Nadhani hii huja katika uchaguzi wa mavazi ya mtu, kuna anayependa nguo zinazobana sana, kuna anayependa zinazomkaa vizuri(fitting) na kuna anayependa nguo pana sana...

Lakini mie nadhani kama vile ame-limit maana ya neno mtanashati.

Nafikiri neno "mtanashati" lina maana zaidi ya uchaguzi wa mavazi ya mtu. Of course, mara nyingi linatumiwa kuhusiana na mavazi.

Lakini mtanashati anaweza pia kuwa mtu anayepangilia mambo yake vizuri. Wanasema hii ndiyo sifa kuu ya members wa mtanashati: source: http://www.mtanashati.com/ lol.

Kwa uelewa wangu wa juu juu, mtanashati ni mtu anayevutia (so attractive). Kwa hiyo, mtu anaweza kuvutia zaidi ya mavazi yake.

The fact kwamba mtu ni mtanashati haina maana kuwa ni mzuri. Inawezekana tuu kuwa the way anavyopangilia mambo yake inamfanya aonekane kivutio.

Wengine personality yao tuu inawafanya waonekane watanashati mbele ya watu.

Pia matumizi na maana ya maneno yanabadilika kulingana na wakati. Kama umeshaangalia filamu ya Ocean's Eleven (2001), wakati Saul anawaangalia Danny, Linus na Yen loading money from the vault akasema "That is the sexiest thing I have ever seen!" Money can be sexy too. lol.
 
hapo red dogo jiangalie ohooo!
nimependa ulivyoelezzea but nina kaswali kengine kwani mtu msafi huwa maridadi au mtanashati??
mtu mzima hatishiwi nyau dada. of course kama wewe ni msafi then utapenda kuvaa kinadhifu accordingly, sio lazima uende spa au kushinda saluni but utakuwa 'presentable' kwenye average settings. mambo ya kushindia nguo moja wiki hayapo tena.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom