Utamu wa umaskini

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,322
Mkikosa chakula, mnajipoza na *******
Mkikosa pesa, mnarudi kitandani kutafuta maono
Ukitoka kitandani, furaha hujaa
Heri maskini mwenye mke/mume kuliko tajiri single
 
Mkikosa chakula, mnajipoza na *******
Mkikosa pesa, mnarudi kitandani kutafuta maono
Ukitoka kitandani, furaha hujaa
Heri maskini mwenye mke/mume kuliko tajiri single

Kweli wewe ndio tabutupu,....
 
maskini wanapendana jamani, nikienda uswahilini kabisa huko utakuta mtu na mumewe wamekaa saa mbili kwenye mkeka wanakula ugali wao tena upo kwenye sufuria na mboga moja kweny sufuria, wanacheka kama nini, ukiwa tajiri utampata wapi wa kula nae mezani, kila mtu anaingia home mda wake
 
Mkikosa chakula, mnajipoza na *******
Mkikosa pesa, mnarudi kitandani kutafuta maono
Ukitoka kitandani, furaha hujaa
Heri maskini mwenye mke/mume kuliko tajiri single

hoja bado hujaijenga......................yote yanayomsibu masikini uliyoyataja hata tajiri yako ndani ya uwezo wake..........tafuta hoja kwanza........
 
maskini anafaidi ndoa kuliko tajiri, maana kitu pekee kizuri kilicho karibu yake ni *****
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom