Utamu wa Uchaguzi Mkuu Tanzania,sawa na utamu wa Tendo la ndoa au uzinzi

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Jumamosi ya leo hakika ni njema,njema machoni kwetu wanadamu na pengine machoni pa Bwana.

Hakika afya njema kwangu na kwa wanajf wenzangu ni inshara tosha ya uinjema wa jumamosi ya leo.

yawezekana kabisa,wapo wanajf mnaumwa nitoe pole sana kwao nina imani watapona ila kama wapo ambao Mwenyezi Mungu itampendeza kuwachukua basi afanye hivyo kwani kazi yake haina makosa,na si wanadamu tu sawa na mazao yaliyopandwa Duniani tukikomaa hatuna namna zaidi ya kuvunwa.

Ndugu zangu, Banddiko langu la leo linaweza kuwakwaza baadhi ya wasomaji hasa wale ambao wao huwa au kutokana na kazi zao hawaruhusiwii kufanya TENDO la ndoa au Uzinzi kwa maana ya viongozi wangu wa kanisa Katoliki kwa maana ya Mapadri na massita,hakika natambua uwepo wenu humu naomba radhi kwani ninaenda kidogo kusimulia kitu ambacho pengine nyie hamkijui kabsa.

Wanajf wenzangu,sina lengo kusimulia masuala ya ngono hapa,ila lengo langu ni kusmulia Siasa za Tanzania na pengine hata mataifa mengine tukikarbia wakati wa uchaguzi yaani huwa tunakutana na visa na mikasa ya ajabu ambayo huwa ni Ngariba za wanasiasa wakubwa na visa hivyo huwa na madhara kwa wananchi wa kawaida masikini na sio kwa wanasiasa hao vingunge.
Nimelazimika kufananisha visa hivyo na mambo yafanywayo "FARAGA" yaani wanandoa au wazinzi wakiwa wanafanya ngono wakifikia wakati ule pale tendo LIMENOGA,yani pale speed uongzeka maneno ya uongo utamkwa wakati huo mara utaskia


mara baby ............... mara uwiii............ mara yani mama yoyoooo......... chukua vyote vyako chukua yoteee.......... utadhani inaweza katwa a kuondoka nayo mara ...............baby nifanye na hivi................. yani kipindi hiki ni kipindi usemwapo uongo wa ajabu,

nikuchekeshe kidgo kuna wachambuzinwa mambbo wanasema hata yule mzee wetu Marehemu Bilionea aliandika usia wa kumpa sehemu kubwa ya mali yule dada wakati wa kipindi hichoooo hahahah hahaha hahaha mie simo!

Nafananisha kipindi cha uchaguzi wa viongozi wakubwa nchini Tanzania na kipindi hicho, yaani kipindi hiki cha uchaguzi tutaona mengi, mwisho wa yote wanao umia na vitu hivyo ni sisi wananchi wa hali ya chini,nitaelezea mfano hiv mnakumbuka Lowasa baada ya kuenguliwa ccm na kujiunga chadema mwajua kuna vijana walipoteza maisha yao kisa Lowasa na uraisi nje ya ccm,

Hivi mwajua baada ya uchaguzi walio kuwa wakimsapoti Lowasa wakatti wa uchaguzi wanaishi kama mashetani katika nchi yao?

leo hii ccn inamfukuza Bernad Membe, vyama vya upinzani kwa kutokujua au kwa makusudi watambemba Membe ili apambane na Magufuli hiv kwa jinsi mnavyoona Magufuli atakubal kuachia nchi wakati huu wa miaka mitano tu?

vita ya magufuli na Kachero membe ni kubwa ila watakao umia sio membe na Magufuli ni mimi na wewe mwanachi mwenzangu wa hali ya chini!

je kile kipindi wakati wa uzinzi kinakuaga na madhara au la? nimesema kwa wakati ule ndo uongo mwingi utamkwa.

yangu haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ndugu yangu. Kama hutaki siasa kashabikie mpira. Siasa waachie wanaoziweza .
 
Back
Top Bottom