Utamu wa tv channels na radio stations dunia nzima

Thanks mkuu napata chanels za nigeria kirahisi ingawa picha hazipo clear na radio ndo zimegoma. Nataka kupata channels za michezo nifanyeje boss
 
Thanks mkuu napata chanels za nigeria kirahisi ingawa picha hazipo clear na radio ndo zimegoma. Nataka kupata channels za michezo nifanyeje boss

mkuu ukiangalia kwa makini kwa chini kulia utaona wamelist pale movies,entertainment,sports etc. we click sports watakuletea chanel zote za michezo zinazopatikana hapo
 
nice tool ,bigup for sharing
Ndio wakuu habari ya jumapili. Leo nataka ni shee hivi vi softwares vidogo sana lakini vhya ukweli. kama hii easy web tv inakuweza kuchagua channel unayotaka dunia nzima nakuangalia kwa raha zako na tena kama ukiwa na connection ya ukweli ni hadi raha. pia unaweza ukachagua genre kwa mfano unataka channel ya music,movie,sports etc. yani hutajuta kuitumia software hii. pia kuna joobe ambayo inakuwezesha kuskiza radio stations za dunia nzima. hebu jaribu halafu uniambie. Adios wakuu. :Download Jobee-setup.exe from Sendspace.com - send big files the easy way
Download webtve_setup.exe from Sendspace.com - send big files the easy way
 
Ahasante Mkuu. Naangalia BBC London, ila siyo clear sana. Thanx

Haa!! Kumbe inakuruhusu kwa kwa dakika 10 tu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom