King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,328
- 67,759
TV za Bongo zipo?? kama zipo ni ipi na ipi??? @Mzeewaloliondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nataka kuangalia tv za bongoland nitapata?
mkuu sijaziona za bongo kwa kweli!TV za Bongo zipo?? kama zipo ni ipi na ipi??? @Mzeewaloliondo
werawera kitu kimejipa kitukimejipa dah JF mpango mzima asanteeee mchungaji MWASAPILA
Thanks mkuu napata chanels za nigeria kirahisi ingawa picha hazipo clear na radio ndo zimegoma. Nataka kupata channels za michezo nifanyeje boss
wa loliondo na kwenye simu je inakubali au ni pc peke yake.
Ndio wakuu habari ya jumapili. Leo nataka ni shee hivi vi softwares vidogo sana lakini vhya ukweli. kama hii easy web tv inakuweza kuchagua channel unayotaka dunia nzima nakuangalia kwa raha zako na tena kama ukiwa na connection ya ukweli ni hadi raha. pia unaweza ukachagua genre kwa mfano unataka channel ya music,movie,sports etc. yani hutajuta kuitumia software hii. pia kuna joobe ambayo inakuwezesha kuskiza radio stations za dunia nzima. hebu jaribu halafu uniambie. Adios wakuu. :Download Jobee-setup.exe from Sendspace.com - send big files the easy way
Download webtve_setup.exe from Sendspace.com - send big files the easy way
its working Asante
Ahasante Mkuu. Naangalia BBC London, ila siyo clear sana. Thanx
ok mkuu. ni kwa channel hiyo tu au zote?