UTAMU WA TABATA: Hook up joint na watoto wazuri, one night stands, kula kuku

Hivi nafikaje 40-40 kutokea huku Bunju? Nataka nije nione hiyo misifa mnayoiweka hapo kama inafikia hapa Kibo Complex-Tegeta. Huku tunatafuna hadi wazungu aisee....!
....40/40 ni pa kawaida saaaana,..na wahudumu wa kawaida pia
....ila kuna mhudumu mmoja kule ndani ndio yuko sawa sana
 
hapana mkuu siwezi ...kabisaa..dhambi hahaa
nyie ndio wale ambao hamlii kitimoto kabisa tena mtu aki kulisha ugomvi wake sio wa nchi hii
Ila sasa unakula tigo(jicho,ndogo,jirani) balaaa wakati hiyo ukila huendi filidausi
 
Kampani ya bata viwanja hivi, zinazidi masaki na msasani. Totos utadhani zina bima ya milele duniani. Zinajislewa atali na........
 
nyie ndio wale ambao hamlii kitimoto kabisa tena mtu aki kulisha ugomvi wake sio wa nchi hii
Ila sasa unakula tigo(jicho,ndogo,jirani) balaaa wakati hiyo ukila huendi filidausi
hapana mkuu" mfano wako " hauingii kabisa kwenye hoja yangu ...kumla mwanao na Kitimoto ni vitu viwili differ
 
Hapo 40, 40 hatare sana , last weekend niliopoa mtoto mkale sana, utadhani alishushwa toka mawinguni, laini kama sabuni ya revola.
Msambwanda balaa
 
Hapo 40, 40 hatare sana , last weekend niliopoa mtoto mkale sana, utadhani alishushwa toka mawinguni, laini kama sabuni ya revola.
Msambwanda balaa[/QUOTE
Hapo 40, 40 hatare sana , last weekend niliopoa mtoto mkale sana, utadhani alishushwa toka mawinguni, laini kama sabuni ya revola.
Msambwanda balaa
Mkuu yule host kuna muda anakuwa anaimbisha mademu wanacheza
"aya tikisa mbwanda tikisa
Tikisa mbwanda tikisa"
Unaambiwa mik...du ina kwangwaruliwa balaaa.
 
Tulianza kula bata Tabata kipindi sana, enzi hizo nyumba za Bima ndo kwanza zinakamilika.

Nikakaa kipande cha Ubaya Ubaya ku experience maisha ya kitaa.

Enzi hizo ukipiga Mtikila nne wewe mwanamme kweli.Kabla hazijaharibiwa na Wa South.

Siku za kuhanja unahanja Bima, Hospitali ya BAKWATA, Sigara, mpaka sega Dance, unarudi mpaka Aroma na relini huku SUKITA.

Those were the days!

Sikuhizi nikija lazima nionekane mgeni sana tu viwanja vyangu mwenyewe.
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom