Utamu wa Siasa za Kenya: The Intrigues of Political Alliances and Coalitions.

UhuRuto nakuru city

67810_539685146060043_1305276397_n.jpg

432240_539685179393373_1161973369_n.jpg

75199_539686732726551_822957691_n.jpg

558869_539687676059790_1823876341_n.jpg

248376_539688149393076_818325662_n.jpg
 
A1.jpg

Deputy Prime Minister, Uhuru Kenyatta (red-shirt) with Eldoret North MP William Ruto (yellow-shirt) wave to a crowd on December 2, 2012 at a political rally in Nakuru.

A2.jpg

Uhuru Kenyatta and William Ruto during a joing TNA-URP rally at the Nakuru's Afraha Stadium on December 2, 2012.

A3.jpg

Eldoret North MP William Ruto addressing a TNA-URP rally at the Nakuru's Afraha Stadium on December 2, 2012.

A4.jpg

Uhuru Kenyatta and William Ruto during a joint TNA-URP rally at the Nakuru's Afraha Stadium on December 2, 2012.

A5.jpg

Uhuru Kenyatta and William Ruto shake hands during a joint TNA-URP rally at the Nakuru's Afraha Stadium on December 2, 2012.
 
A1.jpg

Deputy
Prime Minister, Uhuru Kenyatta (red-shirt) with Eldoret North MP
William Ruto (yellow-shirt) wave to a crowd on December 2, 2012 at a
political rally in Nakuru.

A2.jpg

Uhuru
Kenyatta and William Ruto during a joing TNA-URP rally at the Nakuru’s
Afraha Stadium on December 2, 2012.

A3.jpg

Eldoret
North MP William Ruto addressing a TNA-URP rally at the Nakuru’s Afraha
Stadium on December 2, 2012.

A4.jpg

Uhuru
Kenyatta and William Ruto during a joint TNA-URP rally at the Nakuru’s
Afraha Stadium on December 2, 2012.

A5.jpg

Uhuru
Kenyatta and William Ruto shake hands during a joint TNA-URP rally at
the Nakuru’s Afraha Stadium on December 2, 2012.

kaka Ab tichaz whom do you think will win the kenyan presidency?
 
A number lobby groups operating and running off charity money have lined up some great show-manism to restrain uhuruto from contesting. The new Kenyan supreme court is run by legal practitioners and they cannot be compelled to make emotive rulings on uhuruto. If it was a case of integrity, then not only uhuruto but all candidates were to be mentioned and vetted by the same court for integrity. The legal courts is an independent entity and arm of the government and is not swayed or easily arm-twisted. every thing has to run according to book.
 
sth is inherently wrong with Kenyans during the electioneering periods, both divides i must admit. However, lemmie poise this quiz back, How and when have the courts of law been arm twisted? The booklet we unanimously passed in august speaks so clearly with undisputable clarity about integrity. If the courts are to find themselves in a scenario handling any integrity cases; your guess is as good as mine. That to me is the independence of the courts. Anyway bro, the duo have asked for a lee way out, we let the voters do the bidding n am of the opinion its ok, but for one moment dont think the courts are emotive...... "they actually have no choice in this matter"...the constitution speaks for itself. They only arbitrate to confirm the obvious. Let the politicians do their thing
 
What about kenyans during electioneering period? it is quite a normal thing for such. I meant that the high court cannot be impelled to make prejudicial rulings. I am pleased as at now how the courts are running their mandate according to the rule of law. The courts can't be used as campaign aid tools, that would be a subverted application of the new constitution.

Some interesting stuff happening under the commissioned forum that is tasked with implementation of articles under section 71 of the booklet. I think it will be good if we can just familiarize ourselves how the new constitution is giving citizens freedom and empowerment.
 
i will assume you meant sth like that but sth totally different; wachana na mambo ya katiba for now, some people are hired to do that.lol. Good grammar too, tell me how u think of Uhurutos selfishness and how it has served them? What are their chances? Elsewhere u speak of Mudumber as the light, to me he is a total flop. I said earlier, this selfishness will put TNA/URP in a fix....look at em now, totally drinking somewhere in Gatundu.
 
Naamini nafasi zote ziko wazi kwa wanaotafuta urais. Raila anaweza shinda akiungana mikono na kalonzo na Mudavadi na wanasiasa wengine. Jambo hatujui ni kama wao kalonzo na mudavadi watakubali kufanya kazi pamoja na Raila. Nilimuheshimu sana Raila na kumpigia kura mwaka wa 2007, lakini kadanganywa na wenzake ndani ya chama chake kujiingiza katika siasa za kumwagiana maji taka na mahasidi. Huko ndio kupoteza mwelekeo.

Musalia yuko hali ya hatari lazima azindue njia za kujinusuru la sivyo atabaki hana pa kwenda; kama mwenzake kalonzo pia lazima atafute njia za kubaki katika siasa. La kushangaza hawa wanasiasa walikuwa chini ya uongozi wa nyayo na bado wanatangatanga. Mbona nyayo hakuwahunga mkono hawa licha ya kuwa walikula meza moja kwa muda mrefu?

Mkuu ,
Nini sasa tathimini yako katika maunganiko ya kambi hizi mbili kuu yaani inayoitwa sasa Uhuruto na hii ya Railonzo?

Ni kweli inavoonekana hapo Mudavadi kajitengenezea kuangukia pua kwa kaenda kundi ambalo limejitenga sana.

Mimi nalipa heko kundi la Railonzo maana hili angalau lina sura ya kitaifa zaidi katika muunganiko wao wa vyama kumi na vine.
 
Mkuu ,
Nini sasa tahimini yako katika maunganiko ya kamvi hizi mbili kuu yaani inayoitwa sasa Uhuruto na hii ya Railonzo?

Ni kweli inavoonekana hapo Mudavadi kajitengenezea kuangukia pua kwa kaenda kundi ambalo limejitenga sana.

Mimi nalipa heko kundi la Railonzo maana hili angalau lina sura ya kitaifa zaidi katika muunganiko wao wa vyama kumi na vine.

Ni vema kuwa na maoni yako na ni ya busara sana lakini Kuna kura za kidemokrasia ambazo Railonzo wanapaswa kupigania nani ataendesha chama. kumbuka National outlook, bila demokrasia pia ni hatari. Kilichofanya kenya kuanguka kwenye vita vya wenyewe-kwa wenyewe ni hizi MOU.

Hivi kalonzo atakubali wetangula achukue nafasi ya naibu wa rais bila kufanya uchaguzi. Naye Raila vile pia amenyane naye kalonzo kwenye debe kupigania urais kwa njia ya kidemokraisa. watafanya hilo au watabuni MOU ambayo ikivunjwa tunaelewa madhara yake. Ngilu naye kapotea bila kujua mbele wala nyuma namusikitikia sana kwa kuyumbayumbishwa.
 
Mkuu Kabaridi.

Kwa kweli sijalifikri hili la demokrasia ndani ya miungano hii. Nilichokuwa nakifahamu ni kuwa Rilonzo itaongozwa na Raila na Kalonzo ni mwenza wake. Nina hamu ya kujua zaidi tafadhali.
 
raila is leading the pack, with kalonzo as running mate. following generative comments from the two social platforms, facebook and twitter; all indications are that the Kambas have trooped en mass behind ODM.
 
Africa_620x120.gif

Kenyan election alliance between bitter enemies united by ICC charges

Uhuru Kenyatta and William Ruto may believe victory will help them escape prosecution for crimes against humanity.

Kenyatta-and-Ruto-008.jpg

Uhuru Kenyatta (red-shirt) and William Ruto (yellow-shirt) shake hands during a political rally at Nakuruv. Photograph: Tony Karumba/AFP/Getty Images

The brazen cynicism took my breath away. There, in Nakuru, the Kenyan city where scores of people died in pointless political violence in 2007-2008, stood two of the men allegedly responsible for it: Uhuru Kenyatta and William Ruto, both stalwarts of the Kenyan political establishment, both key figures in next year's presidential elections, and both indicted by the international criminal court (ICC) for crimes against humanity.

Thousands of Kenyans cheered as the two men announced that they had forgotten their differences and buried the hatchet. Instead, for the good of national reconciliation (they said) and their own careers (they didn't say), they would combine forces to compete together in the upcoming polls. If successful, Kenyatta would take the top job and Ruto would serve as deputy, while cabinet and parliamentary positions would be split evenly.

"Our work is to preach peace, and make sure there is no blood split again," said Kenyatta, deadpan.

"The journey to unite the country has started," added Ruto, with no apparent trace of irony. "We have the leadership that can bring Kenyans together."

To celebrate this marriage of convenience, the two men danced on stage to wild applause from supporters whose memory must be failing them. To the rest of us, who cannot forget the role that Kenyatta and Ruto played in dividing their country, and in inciting the raw, base emotions which set it alight in that gruesome period after the last elections, the spectacle was unworthy of adulation. The official death toll of Kenya's post-election violence rests at 1,133, with 3,561 injured. Hundreds of thousands of people were displaced.

Nakuru was the centre of some of the worst violence, with the city having to bury dozens of bodies. As the two politicians danced, it felt like they were dancing on the victims' graves.

The stage for the violence was set in late 2007, when the results of a tightly fought election gave incumbent President Mwai Kibaki another term in office. Only just, though, and the main opposition – led by Raila Odinga, another establishment figure – wasn't about to accept this quietly, especially given that parts of the vote were almost certainly rigged.

Both sides mobilised (or, more accurately, incited) the less salubrious elements of their support in tit-for-tat attacks on people aligned with the wrong party, from the wrong tribe, or sometimes just in the wrong place in the wrong time. In a matter of weeks, the orgy of blood-letting left Kenya's reputation for stability in tatters.

Resolution came in the form of a government of national unity, led by Kibaki but with Odinga as prime minister. Justice came in the form of a list of six names submitted to the international criminal court for investigation. Four of the people on the list have been formally charged with responsibility for crimes against humanity: Uhuru Kenyatta, William Ruto, Joshua arap Sang, and Francis Muthaura.

Here's where it gets interesting: Kenyatta and Ruto, while both implicated, were on different sides in the violence. Kenyatta, as befits the son of Kenya's founding father Jomo Kenyatta, was protecting President Kibaki and the status quo. Ruto, meanwhile, was Odinga's main attack dog, doing the dirty work while his principal kept his hands clean.

There was also an undeniable tribal element to all of this. Kibaki and Kenyatta are Kikuyu, traditionally Kenya's most powerful and populous tribe. Odinga is Luo, and there has never been a Luo president. Ruto, meanwhile, is Kalenjin. The Kalenjin are a smaller but influential group, with the potential to be kingmakers in an election. In 2007, some political figures aligned with the Luo and Kalenjin banded together to fight off another Kikuyu term, which helps explain why the post-election violence assumed such an ugly ethnic character.

This time round, with Odinga holding a healthy lead in the polls, perhaps the Luo leaders in question don't feel they need to make any political sacrifices (such as cabinet positions) to guarantee Kalenjin support. Kenyatta, meanwhile, needs all the help he can get: hence this unsavoury deal with his former foe.

It's no accident either, that both Kenyatta and Ruto have those ICC charges hanging over their heads. As one Kenyan columnist wryly observed, misery loves company. And an electoral victory would give their chances of escaping international justice a mighty boost: as the world has seen with Sudan and President Omar al-Bashir, prosecuting a sitting head of state (and his deputy, in the Kenyan case) is fraught with all kinds of sensitivities, most of which mitigate against an arrest and successful prosecution.

While their self-interest may be obvious, it's nauseating to watch these two former enemies smile for the camera and dance for the crowd. If the bad blood can disappear so quickly, you wonder why exactly people had to die for it. "The violence wasn't personal to either Mr Kenyatta or Mr Ruto," explains Makau Mutua, chairman of Kenya's Human Rights Commission. "The true objective wasn't to attack people but to capture, or retain power. That's how poor people are sacrificed by political elites every election cycle. It's nothing personal. That's how Mr Kenyatta and Mr Ruto can still come together to seek the highest office in the land."

It's nothing personal. As Kenyans ponder how to cast their vote in the next elections, they would do well to remember that.

Kenyan election alliance between bitter enemies united by ICC charges | World news | guardian.co.uk
 
Mkuu Kabaridi.

Kwa kweli sijalifikri hili la demokrasia ndani ya miungano hii. Nilichokuwa nakifahamu ni kuwa Rilonzo itaongozwa na Raila na Kalonzo ni mwenza wake. Nina hamu ya kujua zaidi tafadhali.

Mkuu
Kuna kitu ambacho si haki kinachoitwa automatic direct ticket. Natarajia kuona hiyo ikitimia kwenye ODM kati ya kigogo na mgombea mwenza au itakuwa vigumu kwao kuleta mapendekezo zao za kidemokrasia. misingi ya miungano hii si kingine bali ni ugawaji wa fulusi na nyadhifa kati ya mandugu wa ukoo na wanachama. nasi wakenya wapumbavu kweli; ambao hatutafaidika na hizi dili za ubinafsi tumejigawanya pande mbili tukizozania maneno...eti ukabila huo
 
Hadi kufikia sasa wengi wangali wanauliza maswali mengi kuhusiana na kilichojiri hapo jana hadi musalia mudavadi akawa mmoja kati ya muungano wa uhuru na ruto , inaelekea kuwa muda mwingi uliotumika kwa mazungumzo ya usiku kucha na mchana kutwa hapo jana ulizaa matunda kwani kwa Uhuru na Ruto pengo la Eugene na Ngilu dawa yake ilikuwa ni Musalia , wengi wakiuliza Je muungano huu utaafikia lengo lake jinsi ulivyo?

[video=youtube_share;YkCriKJ1WLM]http://youtu.be/YkCriKJ1WLM[/video]
 
Miungano imetiwa wino, lakini je itahimili misukosuko ya kisiasa kabla na baada ya uchaguzi mkuu mwakani. Wachambuzi wanasema kuna uwezekano muungano wa Raila Odinga na Kalonzo Musyoka ukawa na sura ile ile iliotawala uhusiano wao wa kisiasa- ule wa kuuma na kupuliza. Uhuru Kenyatta na William Ruto gundi inayowashikanisha inasemekana ni masaibu yao huko the Hague. Hivyo Wakenya watazamie nini katika siku 90 zilizosalia kabla ya uchaguzi na kubwa kabisa- baada ya machi tarehe 4.

[video=youtube_share;GUZQHKy0RDE]http://youtu.be/GUZQHKy0RDE[/video]
 
Obama will just sponsor their campaigns that how far he can motivate the Raila campaign
Habari za saa hizi Kabaridi, kusema kweli mimi nawatakia kila la kheli katika uchaguzi wenu - mkuu unajua kwa nini nilitoa dokezo hilo hapo juu?? Hivi unakumbuka Koffi Annani juzi alitoa kauli gani kuhusu chaguzi zenu za mwaka kesho - hiyo ndio ingekuwa a wake up call au tuseme a clue kinacho weza kutokea - Jamaa hawa hawazungumzi vitu out of the BLUE mkuu wangu.
 
Ashante mkuu,
Bukyanagandi

kwa kutuongezea matumaini. Lakini niseme muungano baina ya Uhuru na mudavadi imeweka watu katika hali mbaya. miungano ya watu wengi ambao hawana lingine ila wamebaki kungangania tu madaraka ndio Chanzo cha misukosuko.
Obama means business mkuu kwa hill jambo la ICC, hivyo hivi karibuni sijui karata gani itachezwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom