...labda mume wa mtu ni mutamu zaidi kumuganda na kunghanghana nae.oaNisababu zipi? zinazofanya , shii amutamani mume wa mtu
na kumuganda au kunghanghana nae?
kunghanghana nae.lolmutamu kivipi?
kwahiyo unataka upate sababu nawe uingie kwenye kundi hilo?mie bado lakini naona watu wanavyo gada/
mie bado lakini naona watu wanavyo gada/
Mume wa mtu ni yupi
kila mtu ale kwa nafasi yake loh
Mume wa mtu siyo king'ang'anizi....anakula mzigo na kupisha wengine
wapo ving'ang'anizi pia kama mimi.........Lol!
sio mimi eliza wangu mimi vitu used huwa sigusi kamwe.kwanza waume wa watu wana dhiki na matatizo balaa mara oooh mama mkwe mgonjwa,watoto shule ,shemeji ada.mdogo wangu mgonjwaabeee............unasema??
..au mke bondia na mchafu na mwene kauli chafu.Utakuwa una mke MBAYA......:lol::lol::lol:
Ndugu,
Japo sijui kwa undani ila nahisi zifuatazo ni sababu
1. Mme wa mtu inawezekana ana pesa kuliko mme wake - maana wake wa siku hizi wanataka pesa
2. Mme wake akawa hamtosherezi kimapenzi (kingono) ila huyo mme wa mtu anamfikisha
3. Yawezekana hakuna maelewano ndani, hivyo huyo mke anaona ni bora ajitulize huko
4. Yawezekana mme wa mtu akawa anamsikiliza na kiumjali kuliko mme wake
5. Yawezekana akawa na fikra potofu kwamba penzi la kuiba ni tamu na;
6. N.K, N.K,