Utamu wa Ngoma mdundiko

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,670
Nawapa kwanza onyo wa kule instagram maswala ya kucopy mabandiko ya watu na kwenda kupost kwenye page zao bila kutoa credit ya muanzilishi watakuja kuoteshwa shipa,

Nilitoa hii mada hapa chini
Siyo mpaka umvue Pichu. - JamiiForums

Lakini siku mbili mbele nimekuta bandiko huko insta lenye mahudhui kama hayo.
IMG_20181001_171354_288.JPG


Ok no sweaty nafurahia kuona kwamba kumbe Uzero IQ yangu unazidi kusambaa pande zote.

Leo bhana niseme kidogo tu kama mnavyojua jana kulikuwa na game kali ya watani wa jadi ,

Baada ya matokeo yale yaliyonikuta ni balaaa kwa sababu kuna mdada nilibeti nae kwamba kama Yanga wakishinda au kutoa sare atakuja kunipa game ambalo sijawahi pewa tangu nizaliwe,

Nilihisi kama utani vile lakini mara baada ya game kuisha dogo kanivutia waya na kuniambia nijiandae anakuja,

Aaha mara pap mtoto huyo na furaha kede kede kumcheki kavaa kibukta cha njano kachura kamechomoza nilishindwa kuvumilia wewe mnara ukasimama 4G plus.

Alivyoingia gheto cha kwanza ni maji twende bafuni alichonifanyia kule yerewiiiiii sijawahi fanyiwa asee mtoto ananyonya koni yuleeee utazani kazaliwa nayo,


Toka hapo kuingia kitandani ni mwendo wa game mpaka Asubuhi .

Hawa watoto wa kiswazi siyo wa kubeti wala kupinga nao kitu leo tangu Asubuhi sijatoka kwenda kutafuta ule mkate wetu wa kila siku kiuno kiko hoi hakifanyi kazi.,


IMG_20180920_164837_646.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20181001_171354_288.jpeg
    IMG_20181001_171354_288.jpeg
    46.6 KB · Views: 51
  • IMG_20181001_171438_689.jpeg
    IMG_20181001_171438_689.jpeg
    26.7 KB · Views: 64
  • IMG_20180920_165046_922.jpeg
    IMG_20180920_165046_922.jpeg
    48.8 KB · Views: 60
Mkuu napenda kukumbusha kua kwa picha kama hiyo namba 4 kumbuka kwamba huku ni jf sio fesibuku wala ista
Na mi pia napenda kukumbusha uzi umekosewa jukwaa tu Mods wataupeleka kule ambako picha na 4 unayosemea inafaa kuwepo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom