Utamu wa ngoma ingia ucheze kwa stepu

mlimamkuu

Member
Sep 25, 2013
16
4
watu wengi wanalalamika kwamba wanatendwa katika mapenzi.Dawa ni kucheza kwa step na uliyeingia naye,ukishindwa kucheza kwa step baba/mama umepotea.

nina maana mama jitume jitume mtege mmen kimapenzi mpe vyombo.mkipata vyombo usiku mpe na asubuhi nakwambia huyo haruki kirahisi

maneno ya kejeli uliyatoa kwa mumeo|mkeo maranyingi step umekosea steps utasaidiwa na watu wa steps


baba kula vyombo kwa uhakika,

MIPANGO MUHIMU katika maisha ya kila siku juu ya jambo la kufanya.

jamanikubembelezani muhimu sana ndo utamu wa ngoma.

Kuigiza step za wengine ambazo kwenu ngumu kuzicheza mwanzo wa kukosa steps za ngoma
 
Cheza kwa step cheza kwa step usimkanyage mwenzioo!! Youtube audio!!
 
mziki ukizima badilisha CD ili kucheza kwa step kuendelee...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom