Utamu wa mabinti walio okoka

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,708
10,201
582766_276477742452911_71911400_n.jpg
 
Kweli mkuu sio mchozo!
 
Attachments

  • tumblr_l93varEfOb1qcze3mo1_500.jpg
    tumblr_l93varEfOb1qcze3mo1_500.jpg
    45.7 KB · Views: 6,834

Mabinti waliookoka hawavai hereni, mikufi, pete, na bangili.
Mabinti waliookoka hawajirembi kwa rangi za mdomo, rangi za uso, kucha wala rangi za macho.
Babinti waliookoka 'hawakaangi' nywele zao, wala hawasuki nywele wala hawajipambi kwa nguo za thamani kubwa.

Biblia inasema hivi katika 01 Timotheo 02:09-10:-
" 09: Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;10: bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu".
 
I beg to differ hivyo vito vya thamani ndivyo vinapaswa haswa kutumika na wanawake lakini kwa sitara, yaani mwanamke ukisha jipamba basi wakuone wale walioruhusiwa kukuona kwa urembo wako mfano mumeo na si uonekane na kila tom dick and harry! N.B Kuna wasio suka wala kutia hivyo vikolombwezo lakini bado ukimuona ni mtihani. Stara sahihi kwa mwanamke = HIJAB!
 
Ukiona mtu anaokoka ujue ameishatenda madhambi yote duniani kiasi cha kutokuwa na matumaini ya kuishi zaidi ya kujificha nyuma ya ulokole.
 
Wanaojiita wameokoka ni wale ambao Maisha yamewashinda as well ambao wametenda dhambi saaana so they lost who they are.... hawajiamini... spiritual fatigue ipo juuu... anaamua kujiita mlokole....

Hamna lolote, hypocracy at best....!!!

Wanaliwa ka samaki cheaply...
 
I beg to differ hivyo vito vya thamani ndivyo vinapaswa haswa kutumika na wanawake lakini kwa sitara, yaani mwanamke ukisha jipamba basi wakuone wale walioruhusiwa kukuona kwa urembo wako mfano mumeo na si uonekane na kila tom dick and harry! N.B Kuna wasio suka wala kutia hivyo vikolombwezo lakini bado ukimuona ni mtihani. Stara sahihi kwa mwanamke = HIJAB!

Angalia vizuri hapo kwenye blue,
Msisitizo hapo ni kuwa wanawake wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, adabu nzuri, moyo wa kiasi, na matendo mema:, na sio vinginevyo.

Biblia inasema hivi katika 01 Timotheo 02:09-10:-
" 09: Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;10: bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu".
 
Ukiona mtu anaokoka ujue ameishatenda madhambi yote duniani kiasi cha kutokuwa na matumaini ya kuishi zaidi ya kujificha nyuma ya ulokole.

Kwa mawazo hayo umepotea sana sana.
Kuokoka ni kumfuata Yesu na amri zake zote. Hii haina uhusiano wowote na kutenda madhambi yote kama wewe unavyoamini.
Hakuna mtu anayeweza kutenda madhambi yote duniani. Madhambi yapo ya aina nyingi sana.
 
Back
Top Bottom