Utamu wa ikulu na tabasamu la Tundu

sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
7,564
11,478
Kweli ikulu tamu sasa hapa kilichomfurahisha hasa jamaa ni nini?
Ni dhahiri hapa hakuna tena kuongea mambo serious hili tabasamu halijawahi kuonekana kabisa katika maisha ya kawaida.
Sidhani hata mama kashawahi pewa tabasamu kama hilo kweli ikulu tamu hadi kwa wageni.
images%20(2).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ikulu tamu..sasa hapa kilichomfurahisha hasa jamaa ni nini?
Ni dhahiri hapa hakuna tena kuongea mambo serious..hili tabasamu halijawahi kuonekana kabisa katika maisha ya kawaida.
Sidhani hata mama kashawahi pewa tabasamu kama hilo..kweli ikulu tamu hadi kwa wageni.View attachment 1003713

Sent using Jamii Forums mobile app
Utamu haukuwa Ikulu, utamu ulikuwa usikivu wa mzee kikwete. Kilichowafurahisha ni kusikilizwa period. Aliwasikiliza wapinzani wake na kutendea kazi baadhi ambayo yalikuwa yanaonyesha njia chanya kulikuza na kuliendeeleza taifa.

Pamoja na mapungufu yake yote hakuwa na makuu, na aliheshimu watu na kutupa walau hatua chache kuelekea kupata katiba ya wananchi hill nalo si dogo.

Atalipwa kwa anayostahili. Abarikiwe na namtakia pensheni njema isiyo na stress.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom