Utamu utamu utamu eeeeeeeeeeeeee ngwengwele ngwengwele!!!nimeona uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
mada imepelekwa jukwaa la mapenzi
vigezo namashartti kuzingatiwa
 
mmh jamani dunian watachomwa watu
jana nilikuwa nimeenda kumwacha b mkubwa sehemu ya kitchen party uko mbezi
wakati wa kumchukua wakawa bado kidogo ila ukumbi ulikuwa mzuri
wa vyoo na jamaa wamejipnga..sherehe ikiwa inaendele mc nikamwonaa amevaa
kimini balaa kama katumwa ,,mara akaomba wimbo wa rose mhando wa utamu wa YESU

nawatakia kila la kheri..mbarikiwe wote wanandoa watarajiwa hasa wa leo hii maana kumekucha barabarani gari zimepambwa
kama harusi ya sayuni

Mkuu Pdidy,

Nadhani ulikusudia kuandika vioo.

Back to the topic: Ni kweli Kitchen party siku hizi ni kama vile kozi ya ukahaba!!! kuonyeshana nani, anajua nini, zaidi ya nani!!

Wazazi kuweni makini na hili kwani tuendako itakuwa ni balaa!!
 
Back
Top Bottom