Utamu katika kesi ya Lissu huu hapa, mahakamani patachimbika

omtiti

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
1,022
1,590
Kinachonifurahisha kutoka Chadema ni kuwaona wanavyohangaika kutetea utawala wa KISHERIA kutoka kwa walioshikilia madaraka na si VINGINEVYO.

Kichekesho zaidi ni pale wao wanapoikosea SHERIA, wanasisitiza zaidi MATUMIZI ya BUSARA na sio SHERIA inavyotaka

Halafu ukiwaambia hawajui wanalolijua wanaanza kulalamikia matumizi mabaya ya sheria. Acha MBOWE awe MWENYEKITI wa kudumu tu, maana hakuna anaejua wajibu na haki yake ya msingi kuwa ni pamoja na kufuata matakwa ya kikatiba.

Iko hivi;- Ndungai alivyougua na kulazimika kuugulia INDIA aliiandikia Ofisi ya Spika kupitia KATIBU wa Bunge wa wakati huo, Bwana Thomas Kashililah, kumfahamisha kuwa anaenda India ikiwa ni kwa mujibu wa rufaa ya hospitali ya Taifa Muhimbili. Bw Ndungai hapa aliandika barua kama mbunge wa jimbo la Kongwa na sio kama Spika, kupitia Katibu wa Bunge, Bw Kashililah alipojiridhisha kuwa Bw Ndugai kuwa anaumwa, aliijulisha ofisi ya Spika kuwa, Bw Ndungai anastahili kupata stahiki zake zote akiwa kama Mbunge wa jimbo la Kongwa. Ofisi ya Spika ikaamua vivyo hivyo kuwa wanafanya documentations zote zinazostahili kwa Ndungai kwenda India.

Mbali na maelezo hayo hapo juu kwa Ndungai kama Mbunge wa Kongwa, na sio Spika, maana Ndungai sio Spika bali Spika ni Ndungai ( Tumia akili vizuri unapo tofautisha hapa) hakutumia jina lake kama Spika kuomba ruhusa, bali aliomba akiwa kama Mbunge, majukumu ya U-spika yalimfuata huko huko baada ya maamuzi ya Spika kuhitajika ndipo ofisi ya Spika ikaamua kujiuliza hapa "Spika ni nani?" Jibu likaja, Spika ni Ndungai. Ofisi ikahamishiwa kwa muda India. Hii ndo tofauti kati akili na maarifa. Unaweza kuwa na akili lakini ukakosa maarifa ila ukiwa na maarifa utakuwa na akili. Ni sawa na kiongozi asipokuwa na maarifa automatically anakuwa hana akili ila anaweza kuwa na akili halafu akakosa maarifa na mwishowe atashindwa kuwaongoza.

Lissu anazo akili ila hana maarifa. Akili yake inamuelekeza kuwa watu wote wanajua kuwa alishambuliwa kwa Risasi, ila anashindwa kujua kuwa aliehudhuria kwenye kusafirisha kwake kwenda India alikuwa Ndungai ambaye ni mbunge wa Kongwa, ila Spika(Taasisi) aliyetaka Lissu apelekwe kwanza Muhimbili kupewa rufaa rufaa ya nje ya nchi alikataliwa na mwenyekiti wa kambi rasmi Bungeni ambaye ni Mbowe. Simple tu.

Mbowe na Ndungai walikubaliana Lissu apelekwe hospitali ya mkoa wa Dodoma, hapo walikubaliana kwa pamoja, walipofika Bungeni, Mwenyekiti wa Chadema ambaye ni Mwenyekiti wa KUB alimkatalia Spika (Taasisi ya bunge) kufuata taratibu na kanuni za Bunge za namna Mbunge anavyotakiwa kufuata kupata matibabu ya nje nchi. Hapo Spika (Taasisi ya Bunge) haikupewa nafasi kwenye utekelezaji wa sheria (hii inaweza kuwa ni UDHAIFU pengine tunaweza kuuita hivyo). Hivyo mgonjwa akalazimika kujilipia gharama za matibabu (athari ya kutokufuata taratibu) na hii ndo logic ya msingi ya kwanini Lissu ataangukia pua pale Mahakamani.

Kutokana na utoro wake Bungeni, Spika akaamua kumtaka Lissu au familia yake ipeleke vielelezo vya mgonjwa na namna anavyopata huduma ya matibabu (Lissu akasema Bunge halistahili kupata vielelezo kwa sababu haligharamii matibabu yake - akai-test ofisi ya Bunge). Bunge likaona ni uendawazimu kujibishana na mgonjwa (Likampuuzia)

Mgonjwa (Lissu) akapona, akaanza kutalii duniani (akageuka Vasco Da Gama ), Uingereza, Marekani, kisha akaomba akafanye mjadala nchini Ujerumani ,Spika akamtaka arudi nyumbani kuhudumia bunge, akasema (Lissu) kwamba hajaruhusiwa na daktari wake kurudi nyumbani (ila ameruhusiwa kuzunguka bara moja hadi jingine) kwa kulivuka bara la Afrika, akaombwa taarifa ya hali yake kupitia kwa daktari wake, akasema Spika hastahili kupata taarifa hiyo, kama anataka taarifa amfuate Hospitalini (Kiburi)

Spika kama mlezi wa Wabunge akaendelea kuidhinisha mishahara na posho zake (Utu), ila mgonjwa akasema ni haki yake ya msingi (akasahau kuwa haki hiyo inatokana na uwajibikaji ambao yeye hautimizi kwa wananchi wake).

Amefutwa Ubunge, mjadala umeanza, binafsi naomba niseme jambo katika hili!

Lissu anastahili kushitakiwa yeye mwenyewe na sio Spika ama Ndungai, au wote kwa pamoja! Na wanaotakiwa kuwashitaki hawa wawili ni WANANCHI wa jimbo la Singida Mashariki jimboni kwa Tundu Lissu pamoja na Watanzania (Jamhuri) Hii ni kutokana na Spika kumlipa mshahara na posho mtoro.
Kwanini wananchi wa jimboni kwake wamshitaki yeye na Spika? Ni kwa sababu wananchi hao hawana taarifa rasmi ya maendeleo ya mbunge wao na analipwa mishahara yake! Sheria inasemaje kwa mtoro?

Kwanini Jamhuri imshitaki Lissu na Spika? Spika amemlipa mishahara na posho ndugu Lissu bila kuzingatia matakwa ya kisheria ya utumishi wa umma ama ya mfanyakazi. Ikiwa mfanyakazi ameugua na kutoa taarifa rasmi anapata stahiki ya mshahara wake wote kwa kipindi cha miezi 6, kisha nusu ya mshahara wake kwa kipindi cha miezi 6 mingine, ikiwa hajapona bado anastaafishwa. Hapa sheria iliyotumika kumlipa Lissu kwa kipindi cha miaka miwili yote ilitoka wapi? Hili Spika anapaswa kulifafanua vizuri.

Itaendelea kesho........
 
Umeitendea haki hoja unastahiri moja barid nenda kanywe kwa zuhura nitakuja kulipa kaka. Watu wanadhani kuna watu sheria inatakiwa izingatiwe na wengine utumike utu. Shida ya wapinzani siku zote wametumia uongo kuwalisha wapiga kura badala ya kuwaambia ukweli

Kwa mantiki hiyo wameshazoea nakuhalalisha uongo kuwa ukweli, wamesoma lakini wamebaki kuishi kijinga kama vile walivyokuwa kabla ya kusoma
 
Yawezekana mahakama ilitaarifiwa. Ishu ipo kwa bunge; liitaarifiwa?
Hivi wakati TL anatibiwa hospitali ya Dodoma mpaka anasafirishwa baada ya kujeruhiwa toka Dodoma kwenda Nairobi kina nani walitoa vibali vyote? Hivi wale waliokuwa wakihangaika nae pale Dodoma kwa kuandika barua na mawasiliano mengine mpaka kibali cha ndege kuruka usiku kinatoka walikuwa malofa wapumbavu?
Tunafahamu mpo ila ficheni japo kidogo tu ulofa... wenu
 
Ugoro wa meru huu
 
Huelewi na hutakuja kuelewa, umechagua upande
 
Back
Top Bottom