Utamtambuaje mwanamke kama hataki kukuchezea?

Triple A

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
766
147
jaman habari zenu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza, unamkuta mdada anakutega mara kibao mara akae uchi mara alete vzawadi sasa ndo nauliza nitajuaje kama hatanichezea? Yani akinipata alaze na zote! Nitajuaje kama hatanikimbia?
 
ngoja wenye "digirii" waje kukupa maujanja,mana naona hili nalo linahitaji masters.:majani7:
 
jaman habari zenu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza, unamkuta mdada anakutega mara kibao mara akae uchi mara alete vzawadi sasa ndo nauliza nitajuaje kama hatanichezea? Yani akinipata alaze na zote! Nitajuaje kama hatanikimbia?

Ngoma ngumu hii,

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Ha ha ha; nimeipenda hiyo (anayetaka kunichezea). Asante kwa kufikisha ujumbe!
Ngoja The Boss aje akuambie jinsi ya kumjua real gal katikati ya players.
 
Last edited by a moderator:
Duu, me ckwambii coz nahisi utapata maujanja ila ni mzuri sana kwenye kuchezea hisia zenu nyie
 
Muongo,muongo....mwingi wa vibomu...anapenda mkae mlimani city muuze sura na wana kuliko kukaa m-discuss ishu za zenu za msingi....kila saa yupo busy ila akiwa na shida majina matamu yoooote duniani utaitwa wewe...
 
duh na ww yamekukuta? Maujanja yanatakiwa hapa ni namna gn tujikwamue ktk hili lol
 
Muongo,muongo....mwingi wa vibomu...anapenda mkae mlimani city muuze sura na wana kuliko kukaa m-discuss ishu za zenu za msingi....kila saa yupo busy ila akiwa na shida majina matamu yoooote duniani utaitwa wewe...

refer above bolt text madam heart pigilia nail

jaman habari zenu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza, unamkuta mdada anakutega mara kibao mara akae uchi mara alete vzawadi sasa ndo nauliza nitajuaje kama hatanichezea? Yani akinipata alaze na zote! Nitajuaje kama hatanikimbia?

U mean mdada akuchezee ,mmh it doesn't click right in my head, akikuletea zawadi she did it out of love giving is love is it? mi nijuavyo men are the ones who treat women as a playing thing mnawagongagonga afu mnasepa si ndo kuchezea huku , asa how could U say mdada akuchezee jamani , or U mean anataka mechi ya ujirani tu , mmh haya bana
 
kwn wanawake hawataman wanaume? Kama wanataman ndio hivyo anakutega ukiingia mkenge anamaliza shida then anachapa lapa,huko co kuchezea?
 
ok kumbe mechi ya ujirani , asa kama na wewe kama una ngalfrend wako kwnn ukubali sasa au kwakuwa kajilengesha mwenyewe lazima umchape ? dah ila nikuendekeza tamaa tu huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom