Utamsimulia nini mjukuu wako? Ni swali na ushauri tu ndugu yangu Kibunango!



Hivyo usijidanganye kwa vijihoja mfu hapa. Huyu anaependwa mitandaoni ndiye anakusanya mass kubwa sana tena watu wakija voluntarily bila kusombwa na mafuso! Na ndio chaguo la watanzania sasa hivi. Achana na huyu msanii anayeangushwa kila siku kwa mapepo kwa mujibu wa sheik Yahya.
Mkuu,
Siku zote umeshindwa kusema ni kwanini huyo jamaa yako unamwita chaguo la watanzania kwa sasa!
 
Pengine sijui maana ya ufisadi, ama sijui ufisadi unachukuliwa vipi na nyie! Hebu jaribuni kutoa boriti katika macho yenyu kabla ya kuona kibanzi katika macho ya wengine.

Kibunango mwenyewe ukombozi utakapopatikana atakuwa ameshakimbilia Iran, nahisi ni Tostam Aziz huyu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom