Utamshobokea yupi kati ya hawa?

Bigirita

Platinum Member
Feb 12, 2007
15,986
7,366
Kwangu mm, ni lazima mwanamke awe na hivi au mchanganyiko wake au kimojawapo
1) Awe smart - intelligent
2) Awe mzuri (kwa maana ya beholder)
3) Awe na pesa

kama hana hata kiojawapo kwangu hana nafasi!! Geof mshiki najua amepita kwenye vigezo hivyo!!
 
hehehehe!
AMEPITA MKUU!

wa kwangu HANA PESA....
hilo la uzuri ni SUBJECTIVE!i mean inategemeana perceptions ya mtu.ingawa ni lazima niwe wazi hawezi kuwa kwenye level za kina silvia bahame,anjela damasi,au miriam odemba...!yupo kawaida

but SHE IS OF MY TYPE........

kuhusu being smart...!she is smart,lakini sijaridhika na kiwango chake.I.Q yake ni normal.

I DN'T LIKE THEM LADIES WITH I.Q KUBWA!dem anakokotoa physics kama golleto SIMTAKI
 
hahahaaaaa!!!
 
Hahahahahah! Geoff hujatulia!
 
Can anybody tell their partners this? or it is something you observe and reserve??!
 
Kwangu mm, ni lazima mwanamke awe na hivi au mchanganyiko wake au kimojawapo
1) Awe smart - intelligent
2) Awe mzuri (kwa maana ya beholder)
3) Awe na pesa

kama hana hata kiojawapo kwangu hana nafasi!! Geof mshiki najua amepita kwenye vigezo hivyo!!

Kwa mtazamo wangu, vigezo vyako viko so low......!!!
 
Mi nataka dem awe kawaida tu
asisomee ma medicine,ma engineering

asomee ARTS,au biashara!i dn't want complications kwenye ndoa.
 
hehehehe!
AMEPITA MKUU!

wa kwangu HANA PESA....
hilo la uzuri ni SUBJECTIVE!i mean inategemeana perceptions ya mtu.ingawa ni lazima niwe wazi hawezi kuwa kwenye level za kina silvia bahame,anjela damasi,au miriam odemba...!yupo kawaida

but SHE IS OF MY TYPE........

kuhusu being smart...!she is smart,lakini sijaridhika na kiwango chake.I.Q yake ni normal.

I DN'T LIKE THEM LADIES WITH I.Q KUBWA!dem anakokotoa physics kama golleto SIMTAKI

Umewataja hao kwa kuwa ni Ma miss au kwa kuwa ni wazuri? Anyway, uzuri wa mwanamke ni subjective, lakini kwa mtazamo wangu kuna wanawake ambao huwa wanakuwa ''generally accepted'' kwenye jamii kwamba ni wazuri wa kupindukia.

Hao uliowataja hapo ni wa kawaida sana, ni umaarufu tu ndio unawabeba!
 
Mi nataka dem awe kawaida tu
asisomee ma medicine,ma engineering

asomee ARTS,au biashara!i dn't want complications kwenye ndoa.

Kwani degree ya engineering au medicine ndiyo inayosababisha complications kwenye ndoa au ni tabia binafsi ya mwanamke?

Watu tumewahi ku-date visista duu havina hata hiyo digrii moja, lakini ni pasua kichwa balaa!
 
i have always believed that most women who put phisique infront of all other qualities in a man, are either very normal (yani normal kupitiliza) or bellow normal upstairs!!

just a believe though!!
 
Umewataja hao kwa kuwa ni Ma miss au kwa kuwa ni wazuri? Anyway, uzuri wa mwanamke ni subjective, lakini kwa mtazamo wangu kuna wanawake ambao huwa wanakuwa ''generally accepted'' kwenye jamii kwamba ni wazuri wa kupindukia.

Hao uliowataja hapo ni wa kawaida sana, ni umaarufu tu ndio unawabeba!
ma-miss nimewashuhudia weengi sana mazee,lakini SILVIA BAHAME was my character.i mean SHE IS TOTALLY IN MY BLOOD!

na sijui kwanini

I LOVE THE CHICK
 
Kwani degree ya engineering au medicine ndiyo inayosababisha complications kwenye ndoa au ni tabia binafsi ya mwanamke?

Watu tumewahi ku-date visista duu havina hata hiyo digrii moja, lakini ni pasua kichwa balaa!

nikikusomaga humu naona vi date vyako vyote vina msukosuko, mnapenda vibinti vya kuuzia navyo sura ndio mana inawa cost, na hapo umeshasema ni visista duu hiyo tosha kukupasua kichwa.....
 
ma-miss nimewashuhudia weengi sana mazee,lakini SILVIA BAHAME was my character.i mean SHE IS TOTALLY IN MY BLOOD!

na sijui kwanini

I LOVE THE CHICK

ndio yule mwenye mwanya?....unajua kosa linalifanyikaga kwenye mapenzi ni kutaka ishu iliyo juu, i mean kama mwanamke awe na mtu mwenye pesa, papaa fulani hivi town, na wanaume ndio wachukue hao mabinti wenye majina ndio mambo yanakuwaga mseto mseto hapo, hamuwezi kwenda sambamba kabisa, kila mmoja anajiona yupo juu....kuna wadada/wakaka wapo descent sana sema ndio wanaonekana walokole fulani hivi na nyie mnawataka hao mabinti mcheruko, mtawezea wapi?...mambo yatakuwa vululu tu.
 
[/COLOR]

nikikusomaga humu naona vi date vyako vyote vina msukosuko, mnapenda vibinti vya kuuzia navyo sura ndio mana inawa cost, na hapo umeshasema ni visista duu hiyo tosha kukupasua kichwa.....

You know dem boys! men dont need dem show
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom