utamsaidiaje huyu?

Bemba

Senior Member
Jun 9, 2016
128
56
unakuta mtu anaimba kwa sauti kubwa then wimbo wenyewe hajui anaimba uongo(anachapia)
nimewakuta mara nyingi watu kama hao....wanaimba uongo mtupu unao fanania na ukweli.
mi hua nacheka kimoyoyo muimbaji acjiskie vibaya
 
Umewakuta wanaimba wimbo gani? Imba tukusikie kama ww unajua usije ukawa unacheka kumbe we mwenyeww ujui
 
Back
Top Bottom