Utamlinganishaje kiongozi mwenye maono na kiongozi asiyejua kwa nini nchi ni maskini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utamlinganishaje kiongozi mwenye maono na kiongozi asiyejua kwa nini nchi ni maskini!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Mar 2, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ni punguani tu ndiye anayeweza kupoteza muda kulinganisha kiongozi aliyekuwa na maono na kiongozi aliyekiri waziwazi kuwa hafahamu kwa nini nchi yake ni maskini. Watakaokwazwa na thread hii wanisamehe.
   
Loading...