Utambuzi, uandikishwaji vitambulisho vya Taifa kuanza upya desemba 2016

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,785
12,227

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba

Serikali imesema utambuzi na uandikishwaji wa vitambulisho vya Taifa utaanza upya Desemba mwaka huu ili kusaidia kupunguza utitili wa vitambuliso .

Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba , zoezi hilo litasaidia kutoa suluhisho la kudumu la mishahara hewa kwa watumishi wa umma.

“Kuna watu wanatumia majina tofauti lakini kwa kutumia njia ya kielekrotoniki, alama za vidole zinatofautisha tunaamini kutumia alama za vidole ataendelea kutumbulika,”alisema Waziri Nchemba.

Amesema lengo la kufanya hivyo kwenye vitambulisho hivyo vitasaidia maeneo mengi kama bodi ya mkopo, mifuko ya jamii pia anaamini kutakuwa na uhusiano mzuri.

Ameongeza kuwa baada ya zoezi la watumishi wa umma wanakwenda kuendelea kutoa namba za utambuzi kwa wananchi na ‘data base’ tayari ipo waliyopewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

“Taasisi zitatumia utambuzi huu na zaidi ya taasisi 35 zimeanza kutumia taarifa zake kutoka NIDA na zingine zaidi ya 70 zimeonyesha nia ya kutumia taarifa hizo,”alisema.

Kwa upande wa NIDA, usahili wa awali walihakiki watumishi wa umma nchi mzima wapatao laki 565,000 na wengine bado kutokana na sababu mbalimbali.

Hadi sasa wamesajili wananchi milioni 3,900,000 na vitambulisho vya taifa milioni 2,700,000 ambavyo tayari vimezalishwa.

Source: Mtanzania

Hivi ni kodi yangu inatumika kufanya huu upuuzi wa kurudia rudia hili zoezi au tumepewa msaada?
 
Penye Red,siyo kweli.
 
Mkuu Ukiona kazi Kama Hizo Zinarudiwa rudiwa Ujuwe Tunaibiwa Kodi zetu Hapo na Kama Hatuibiwi Basi Huko ni Kututia Hasara.
 
kwa bajet ipi?mbona hawa jamaa wanafanya mambo kama vile hawatumii akili?

ok,"ngoja wajifiche kwenye matuta ya viazi"
 
Jamani ee wakati mwingine wabuni namna ya kubiresha badala ya kuanza upya, wakazi wa Dar es Salama mtaniunga mkono. Unapofika mda wa uandikshaji, mtu unatenga siku mbili huendi kazini unakesha kusubiri kuandikishwa. Mtakumbuka wakati wa kuandikisha vitambulisho vya awali mda uliotumika, vya kupiga kura, na sasa mtakuwa mashahidi juu ya kukiki TIN watu wanaamka saa 10 lakini wanatoka saa 11. Sasa hili zoezi lingine mtanisamehe nimechoka na hazi mambo.
 
Ukiangalia huu upuuzi unaumiza sana. Hili zoezi wakimaliza wataanza la ku update daftari la wapiga kura. Sijui kwa nini wasituonee huruma hata kidogo waunganishe hivi vitu. Kwa upnade mwingine na RITA nao wanafanya kitu kinachofanana na hiki halafu ni serikali ile ile imetoka kuhakiki vyeti.
 
Hivi serikali imeshindwa ku setup single government API ambayo itatumika kwa verification zote? Hapa ndio naona kuna umuhimu wa kuwa na NSA. Yaani mambo yangekuwa rahisi kabisa badala ya kutumia mabilioni kila wakitaka kufanya hiki au kile. Mtu angekuwa na Card moja tu na angeitumia popote pale. Pia card ingekuwa connected na bio-details like fingerprints na hivyo ingeondoa kabisa forgery.

Ila ndio hivyo tena, dah!

Cc: Mwigulu Nchemba
 
Kwenye hili zoezi kuna ukakasi ama ni project ya watu fulani kumeza kodi za wananchi ama nchi imekumbwa na ukata sasa wameamua kuchezea ata kile kidogo tulichonacho.

Kwanini wasikae idara zote za serekali wakaja na mkakati kabambe na mpango madhubuti wa kumaliza hili tatizo. Kila siku utasikia kila waziri anakuja na lake ni kama mashindano.

Jambo la msigi waketi pamoja wizara na idara zote kila mtu atoe hoja na mipango madhubuti. Waache kukurupuka kama menejimenti ya kilabu cha pombe za kienyeji.

Kwa ushauri tu ni kwamba wapunguze huu utitiri wa vitambulisho. Kuwe na system kama Identification number kwa kila mtanzania itakayotengeneza database na kuondoa huu utitiri wa vitambulisho. Kitengenezwe kitambulisho kimoja cha taifa kitakachobeba details za vitambulisho vyote.

List ya utitiri kwa baadhi ya vitambulisho vilivyopo kwa sasa.
Kitambulisho cha kazi, mpiga kura, Taifa, NHIF, Nssf,workers union, et al.
 
Yaani hii nchi!! Tulishapewa vitambulisho, tukaambiwa tupeleke tena viambata tulivyopeleka awali, tena nasikia vitatolewa vitambulisho vingine vipya vyenye saini tofauti na vile vya awali.

Maybe pesa zimetuzidi so vitu vinalipuliwa tu ili vije virudiwe.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba

Serikali imesema utambuzi na uandikishwaji wa vitambulisho vya Taifa utaanza upya Desemba mwaka huu ili kusaidia kupunguza utitili wa vitambuliso .

Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba , zoezi hilo litasaidia kutoa suluhisho la kudumu la mishahara hewa kwa watumishi wa umma.

“Kuna watu wanatumia majina tofauti lakini kwa kutumia njia ya kielekrotoniki, alama za vidole zinatofautisha tunaamini kutumia alama za vidole ataendelea kutumbulika,”alisema Waziri Nchemba.

Amesema lengo la kufanya hivyo kwenye vitambulisho hivyo vitasaidia maeneo mengi kama bodi ya mkopo, mifuko ya jamii pia anaamini kutakuwa na uhusiano mzuri.

Ameongeza kuwa baada ya zoezi la watumishi wa umma wanakwenda kuendelea kutoa namba za utambuzi kwa wananchi na ‘data base’ tayari ipo waliyopewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

“Taasisi zitatumia utambuzi huu na zaidi ya taasisi 35 zimeanza kutumia taarifa zake kutoka NIDA na zingine zaidi ya 70 zimeonyesha nia ya kutumia taarifa hizo,”alisema.

Kwa upande wa NIDA, usahili wa awali walihakiki watumishi wa umma nchi mzima wapatao laki 565,000 na wengine bado kutokana na sababu mbalimbali.

Hadi sasa wamesajili wananchi milioni 3,900,000 na vitambulisho vya taifa milioni 2,700,000 ambavyo tayari vimezalishwa.

Source: Mtanzania

Hivi ni kodi yangu inatumika kufanya huu upuuzi wa kurudia rudia hili zoezi au tumepewa msaada?
Nashindwa kuelewa hii serikali au wamechanganyikiwa,ni nani atakwenda kupanga foleni ya kujiandikisha nabukata huu aache kwenda kuangaika maisha yenyewe haya,la pili wengi tunavyo tayari sasa nikajiandikishe kwa lipi
 
Katika nchi utadhani tuna serikali kumi kidogo!Kila mtu anatoa tamko na agizo!! Rais anatoa maagizo, mawaziri wanatoa maagizo, wakuu wa mikoa na wilaya wanatoa maagizo, wakuu wa taasisi za umma wanatoa maagizo, wenyeviti wa vitongoji, vijiji wanatoa maagizo, madiwani nao pia nk!!

Mambo ni vululu bin vuuu!!!
 
Dah.. hasara mno, maana ile awamu ya kwanza tuliona kuwa tumemaliza kazi
 
Back
Top Bottom