prospa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 554
- 156
Basi juzi nisikia jamaa flan anamtambulisha mtoto wake kwa nduguye mabo yalikuwa hiviiiiii,
MTAMBULISHAJI: Basi mwanangu huyu hapa ni nguguyo kabisa ni mtoto wa bibi yake na shemeji wa binamu yake na baba yake mkubwa na mume wa wifi yake na dada mkubwa wa mpwa wa mjomba wako.
MTAMBULISHWAJI : kabaki katumbua machooo bila kusema kitu, nikasema kweli undugu huuu hatareeeeeeeee