NTALYAGA Member Nov 24, 2014 19 4 Nov 28, 2014 #1 habari wana jf, mimi ni mgeni mpya ktk jukwaa so naomba mnipokee kwa mikono 2.
T TEMBO WANGU JF-Expert Member Feb 21, 2014 929 1,276 Nov 29, 2014 #8 karibu, ila uje na heshima zako humu ndani, unatakiwa ujadili mambo kwa manufaa ya taifa.
S svoca JF-Expert Member Jun 6, 2014 373 69 Nov 29, 2014 #9 Karibu tena sana tu,mradi usiwe na hasira mana sometimes humu kuna challenge zake.