utambulisho

cabby

New Member
Apr 28, 2009
2
0
habari zenu wana JF,
sijui ni ushamba...nimeshtukia hii site tu...nilikuwa natafuta site nyingine kabisa...laiti ningalijua mwanzoni.Niko Toronto Canada..ni katika wale waliochoka siasa za ujambazi za nchi na hatimaye kuamua kuhama.
namshukuru mungu walau ntapata kutoa dukuduku langu from time to time...na ninaahidi JF nitakuwa katika wanachama wanaochangia kwa hali na mali.
 
Karibu sana, pita ndani. Karibu na usikate tamaa na kanchi ketu, tutafika. Kitakiwacho ni mawazo yatakayokamilishwa na actions. Tutafika tu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom