Utambulisho

naima79

Senior Member
Feb 27, 2009
186
111
Hi dears! naomba nijitambulishe kwenu, naitwa naima, naomba tuwe pamoja ktk kubadilishana mawazo wana jamii!
thanks
 
Stanmokiwa, kwanini unapitia mgongo wa Naima kujitambulisha? Fungua thread yako na ujitambulishe kwa manajf. Hata hivyo karibu sana.
 
Thanks wadau!
Nashukuru na nafurahi kwa ukarimu wenu
Tuko pamoja wapendwa
 
nami nimejuinga na jf ili niweze kupata habari na pia kuchangia mada mbalimbali, zinazoletwa hapa na wana jf.

edson
 
Utambulisho
Hi dears! naomba nijitambulishe kwenu, naitwa naima, naomba tuwe pamoja ktk kubadilishana mawazo wana jamii!
thanks


Naungana na Naima kujitambulisha kwenu wana jamii forum.

Thanks!

Karibuni saba bandugu, jisikieni huru kutoa michango ya mawazo na ngawira pia ili tuisongeshe JF mbele. Jinsi ya kchangia ngawira mwandikieni Mod atawafahamisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom