New Member kitu gani, jitambulishe vyema Majina, Jinsia, Miaka, wapi unakaa na kipi kimekuleta JFHello
I'm new member
Nakazia hapa,New Member kitu gani, jitambulishe vyema Majina, Jinsia, Miaka, wapi unakaa na kipi kimekuleta JF
Daah sio fresh😄New Member kitu gani, jitambulishe vyema Majina, Jinsia, Miaka, wapi unakaa na kipi kimekuleta JF
Unataka kusemaje😀 anyway sijui nlitaka kusema niniDaah sio fresh😄
Ungemkaribisha tu vizuri, ajiskie yuko nyumbaniUnataka kusemaje😀 anyway sijui nlitaka kusema nini
Nakazia hapa,
Pia aweke picha zake mbili passport size na full.