Utambulisho

Nauman

New Member
Oct 5, 2011
2
1
Hodi hodi wana jamii forum mimi ndungu yenu nimekuja kuungana nanyi katika kusukuma gurudumu la hekima za nchi yetu, naomba mnipokee
 
Hodi hodi wana jamii forum mimi ndungu yenu nimekuja kuungana nanyi katika kusukuma gurudumu la hekima za nchi yetu, naomba mnipokee
Karibu hadi chumbani huku kuna kakakiiza ni nimtunza funguo za vyumba ukifika mwambie gender yako akuonyeshe vyumba vya gender yako asije akakupeleka kwenye manyang'au bure!!Kuna Mpwa wangu anafahamika The Finest,N dada yako AshaDii,CDanzi wote nindugu karibu!!Bila kumsahau FaizaFox,Bujibuji,Lat,Jrated,Sijui ni wifi au shemejio kwakuwa haujaniambia Gender kubali yote anaitwa Preta,Mwanajamii1 wote wanakukaribisha sana!
 
Hodi hodi wana jamii forum mimi ndungu yenu nimekuja kuungana nanyi katika kusukuma gurudumu la hekima za nchi yetu, naomba mnipokee

Karibu mkuu, mimi naitwa Mwita Chacha Werema mtu ninayeshika namba 2 kwa umaarufu JF (ukimtoa Invisible)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom