Utambulisho

Voice of Wisdom

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
537
240
Mama,baba dada na kaka shkamooni na poleni na majukumu yenu. Nimeamua kufanya uamuzi wa kujiunga nanyi ili kuelimika na kuwa na ufahamu zaidi kwani palipo na "great thinker" kuna elimu iletayo maarifa. Naomba kwenu wakubwa zangu pale nitakapokosea mniadhibu kwa upendo bila upendeleo.
Nawasilisha.
 
Karibu kaka. Unaundugu na voiceofreason? lol
Usisahau kuingia post ya invisible inaitwa how to use jamiiforum effectively. Kila nikiisoma nagundua kitu kipya.
 
Karibu jamvini. Unatumia kinywaji gani Husninyo akuletee?
 
Ahsante sana wanajf kwa kunipokea. Nashukuru kwa kinywaji toka kwa dada husinyo kweli nimeburudika kwa makaribisho yenu.
pia nitapitia hw to use jf effectively ili inielimishe na kunipatia ufaham. Thanks once again for a hotly welcome
 
Mama,baba dada na kaka shkamooni na poleni na majukumu yenu. Nimeamua kufanya uamuzi wa kujiunga nanyi ili kuelimika na kuwa na ufahamu zaidi kwani palipo na "great thinker" kuna elimu iletayo maarifa. Naomba kwenu wakubwa zangu pale nitakapokosea mniadhibu kwa upendo bila upendeleo.
Nawasilisha.
Karibu utapimwa kwa michango yako on-board!
 
Karibu kaka. Unaundugu na voiceofreason? lol
Usisahau kuingia post ya invisible inaitwa how to use jamiiforum effectively. Kila nikiisoma nagundua kitu kipya.

sina uhakika kama nina undugu naye, ila ni mgongano wa mawazo katika kutengeneza avatar au pengine nimeibia yake.(si unajua tena akili za mwenzako changanya na zako )
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom