Joseph_Mungure
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 108
- 161
Habari, jina langu ni Joseph nimekuwa member Jamii Forums kwa muda kidogo but leo nimekuja kujitambulisha rasmi kwenu. Ningefurahi kupata marafiki wa kubadilishana mawazo na fursa.
Karibu japo kwa kuchelewa kidogo.. Yaani umeingia ndani kisha ndio ukabisha hodi...Habari, jina langu ni Joseph nimekuwa member Jamii Forums kwa muda kidogo but leo nimekuja kujitambulisha rasmi kwenu. Ningefurahi kupata marafiki wa kubadilishana mawazo na fursa.
Shukrani mkuuKaribu japo kwa kuchelewa kidogo.. Yaani umeingia ndani kisha ndio ukabisha hodi...
Shukran nduguKila la kheri...
Sawasawa mkuuKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Safi sana. Lipa tozo ya JF kwanza kwa moderator. BTW karibu jukwaaniHabari, jina langu ni Joseph nimekuwa member Jamii Forums kwa muda kidogo but leo nimekuja kujitambulisha rasmi kwenu. Ningefurahi kupata marafiki wa kubadilishana mawazo na fursa.