Utambulisho wana Jamii Forums

Joseph_Mungure

Senior Member
Mar 6, 2021
108
161
Habari, jina langu ni Joseph nimekuwa member Jamii Forums kwa muda kidogo but leo nimekuja kujitambulisha rasmi kwenu. Ningefurahi kupata marafiki wa kubadilishana mawazo na fursa.
 
Karibu japo kwa kuchelewa kidogo.. Yaani umeingia ndani kisha ndio ukabisha hodi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom