Utambulisho na Ukaribisho katika FB GUSHIT PAGE - yakiTZ kwa waTZ

agala

Member
Sep 13, 2011
57
12
Ni page inayoelimisha, ambayo chanzo chake ni tovuti inayofanya uchambuzi wa habari kwa njia ya mtandao ijulikanayo kama www.gushit.com.

Kwahiyo ndani ya page hiyo utapata uchambuzi wa habari kutoka kwenye tovuti hiyo, utapata elimu za kijamii ya mambo mbalimbali, itakufanya siku yako iwe ya furaha kwa kuku patia "vichekesho", itakukumbusha zamani kwa kukuletea "Zamani zile" na kukupatia zawadi kama voucher, pesa, na t-shirt na album za wasanii mbalimbali wa kizazi kipya kwa kukuletea "CONTEST" yaani zawadika.


Kuipata ingia facebook andika https://www.facebook.com/yaKitzKwaWaTz au copy and pate pale kwenye browser yako.


Ahsanteni, Tunawakaribisha wote!

19193_469837616386092_1601594550_n.jpg
 
nani anamiliki hii gushit , ya wapi?
ni nzuri,
Hii ni ya Tanzania hapahapa na wamiliki ni Jigambe Technologies LTD sasa wewe jiunge tuu kwenye hyo page yetu ilikupata vitu kemkem kama nilivyo viorodhesha kwenye post juu hapo thanks kwa kutusifia!!
 
Sounds like bullshit# Am just saying
yaah wengi wanatamka kama jina lilivyo lakini sio hivyo na ndio maana wewe ukaliita bullshit lakini linatamkwa "gashit" na sio gushiti... sio wewe wakwanza kutamka hivyo niwengi tuu..... thanks lakini@karucee
 
yaah wengi wanatamka kama jina lilivyo lakini sio hivyo na ndio maana wewe ukaliita bullshit lakini linatamkwa "gashit" na sio gushiti... sio wewe wakwanza kutamka hivyo niwengi tuu..... thanks lakini@karucee

oh yeah? Thanks for understanding na samahani kama nitakuwa nimekukwaza in any way.
 
hii gushit iko wapi na madhumuni yake ni nini hasa?
madhumuni yake yako wazi kabisa na kama umejaribu kutembelea page yetu utaona madhuni mengi ila machache tumejaribu kuyaelezea kwenye hii post. thanks
 
Back
Top Bottom