Karibu... sukuma mlango uingie kwa wasaa..Habarizenu wananzengo, mimini mgeni hapa kijijini JF. Naomba kupokelewa nanyi wakuu. Napenda mijadala ya Siasa, mambo ya kidini pamoja na michezo. Mimi ni shabiki wa Chelsea fc. Naombakuwasilisha.
Karibu... sukuma mlango uingie kwa wasaa..
Karibu sana mkuu.Habarizenu wananzengo, mimini mgeni hapa kijijini JF. Naomba kupokelewa nanyi wakuu. Napenda mijadala ya Siasa, mambo ya kidini pamoja na michezo. Mimi ni shabiki wa Chelsea fc. Naombakuwasilisha.
we chama gani? ni mwanaume wa mkoani au mgogo?Habarizenu wananzengo, mimini mgeni hapa kijijini JF. Naomba kupokelewa nanyi wakuu. Napenda mijadala ya Siasa, mambo ya kidini pamoja na michezo. Mimi ni shabiki wa Chelsea fc. Naombakuwasilisha.
Hongera kwa kukarimu wageni wetu wa jF! Mkuu MELO anaandaa cheti mwisho wa mwaka upewe..Karibu sana.
😁😁😁😁😁😁Hongera kwa kukarimu wageni wetu wa jF! Mkuu MELO anaandaa cheti mwisho wa mwaka upewe..
we chama gani? ni mwanaume wa mkoani au mgogo?
tembelea forums zote ila soma kwanza pinnee post.
no matusi wala usimtaje jina mtu m hautakaa ukala ban.