Utambulisho kwa wadau

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
7,972
2,000
Habarizenu wananzengo, mimini mgeni hapa kijijini JF. Naomba kupokelewa nanyi wakuu. Napenda mijadala ya Siasa, mambo ya kidini pamoja na michezo. Mimi ni shabiki wa Chelsea fc. Naombakuwasilisha.
we chama gani? ni mwanaume wa mkoani au mgogo?

tembelea forums zote ila soma kwanza pinnee post.

no matusi wala usimtaje jina mtu m hautakaa ukala ban.
 

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
2,586
2,000
Tunaomba kitambulisho ambatanisha na picha ya passport size 🤔
 

muhembano

Member
Nov 22, 2020
17
45
Asanteni woootemlionikaribisha, na hata kunirlrkeza pa kukaa na pia utaratibu wa kuishi hapa kijijini. Mubarikiwe!!!!!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom