condom zitasaidia!Na vipimo vyao vya ukimwi vipo wazi?
condom ya nini, kwani wewe utakuwa wa kwanza kufa! au utaishi miaka 1000? kula vitu hivyooooooooooo...hapa situmii ndomu
Miss Judith,hata hapa tanzania haya mamyo yamekuwepo kwa baadhi ya makabila hadi majuzi tu na inawezekana wengine bado wanaendelea japo si sana. hebu ulizeni watu wa musoma (wakurya) kama wameishaacha ile traditional dance inayoexpose female adolescents' breasts (litungu)
Tuache utani, kwa mwanamume yeyote rijali kama mimi anakubaliana na wewe mkuu..... king anafaidi kinoma!!! Cheki hicho cha kwanza kushoto kilivo na kiuno kizuri!!!
Zama za ushenzi katika karne ya sayansi na teknolojia. Huu ni udharirishaji wa wanawake!!!!!!!!!! Wako wapi wale wanaojifanya watetezi wa haki za wanawake!!!!!! Kuwekwa uchi wanawake wenzenu kiasi hiki hamuoni kuwa ni unyanyasaji ila wakiambiwa wavae hijabu ndo mnakuja juu na kusema uislamu unamnyanyasa mwanamke. Enyi tamwa kama kweli mnawapenda wanawake wenzenu kemeeni hii tabia ya wao kudharirishwa.