Utamaduni wa Wahima na mapenzi yao ya kipekee kwa ng'ombe na maziwa

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,188
4,100
Uganda ina makabila 56 na katika makabila hayo, kuna wanyankole lenye tabaka mbili Bahima na Biru, huku Wahima wakiwa ni wafugaji na Biru wakiwa ni wakulima. Leo ninakushirikisha utamaduni wa kabila la Wahima.

Wahima au Bahima kwa utamaduni ni wachungaji na hutembea na ng'ombe zao wakitafuta malisho na inasemekana walitembea hadi kusini Magharibi mwa Uganda walipopata makao.

Ng'ombe ndiyo kitu kinachofananishwa na kabila ya Wahima kwasababu utamaduni wao unatokana na mapenzi yao ya kuwachunga ngombe.

Haijalishi una mali nyingine kiasi gani, katika kabila la Wahima utajiri wa mwanaume Mhima, unapimwa kwa wingi wa ngombe zake.

Ukiingia kwenye mji wa Wahima wa Mbarara kusini magharibi mwa Uganda, kitu cha kwanza kinacho kukaribisha ni sanamu ya ng'ombe.

Haijalishi Mhima ana ng'ombe wangapi, atajua kila mmoja kwa jina na hatakubali kupoteza hata mmoja bila kugombana.

Miaka kama 15 iliyopita, ilisemekana kuwa ulipokuwa unapita na gari kwenye maeneo ambayo ng'ombe za Bahima huchungiwa, afadhali ungemgonga mtu lakini usimgonge ng'ombe kwasababu haungetoka hapo ukiwa hai.

Thamani ya ngombe na maziwa kwa bibiharusi wa Mhima.

Bibi harusi wa kabila la bahima hulishwa nyama, maziwa na mafuta ya ngombe ili aweze kunenepa na kuwa na mwili nyororo

Bibi harusi mtarajiwa katika kabila la Wahima hulishwa nyama, maziwa na mafuta ya ngombe ili aweze kunenepa na kuwa na mwili nyororo

Kwa miaka mingi sana, bidhaa za ng'ombe ndiyo vimekuwa chakula cha wahima. Wanakunywa maziwa kama maji, na hawawezi kula chakula bila mafuta ya ngombe au Eeshabwe ambayo hutengenezwa kwa maziwa pia.

Chakula cha Mhima hakiwezi kukosa walau bidhaa mbili za ngombe, ima ni maziwa na mafuta ya ng'ombe, au maziwa na nyama ya ng'ombe au hata bidhaa zote kwa mpigo.

Wiki moja kabla ya kuolewa , bibiharusi huoshwa ndani ya maziwa ya ng'ombe na kuyanywa kila siku kwenye maziwa kila siku na baadaye anapakwa mafuta ya ngombe ili ngozi yao iwe laini.

Bibi harusi mtarajiwa katika kabila la bahima hulishwa nyama, maziwa na mafuta ya ngombe ili aweze kunenepa na kuwa na mwili mwororo.

Unene wa mwili wa mwanamke ndio urembo wake. Mwanamke mwembamba huonesha kuwa familia anapotoka ni maskini sana.

Kana kwamba haitoshi, majina ya baadhi ya wasichana au wanawake katika jamii hii huambatana na sifa na maumbile ya ng'ombe, huku urembo wa mwanamke ukilinganishwa na urembo wa ng'ombe, mfano mwendo wake, macho yake na umbo lake la mwili.

Mwanamke mrembo kwa kabila la Wahima huhusishwa na unywaji wa maziwa... mfano utasikia: Mwanamke yule alikunywa maziwa''

Juhudi za rais Yoweri Museveni za kubadili mtizamo wa Bahima juu ya ng'ombe:

Raisi wa Uganda Yoweri Kaguta Museni pia anatoka katika kabila hili la Bahima na kama wenzake wengi, anaamini kuwa utajiri wa mtu uko kwenye wingi wa ngombe anazo miliki.

Museveni ana mashamba mawili binafsi yaliyopo katika maeneo ya Rwakitura na Kisozi magharibi mwa Uganda ambako pia anafuga maelfu ya ng'ombe.

Katika mashamba hayo ana ng'ombe wengi wa kieyenyeji wenye pembe ndefu al-maarufu Ankole, ambao wamependwa sana tangu jadi na Wahima.

Rais Museveni amekua akifanya kampeni kubadilisha fikra yao kuwa na ngombe na kutoziuza hata ukiwa hauna pesa
Museveni ndiye Muhima ambaye ameweka nguvu kujaribu kubadilisha utambaduni wa Bahima na ng'ombe zao.

Amekuwa akifanya kampeni kubadilisha fikra yao kuwa na ngombe na kutoziuza hata ukiwa hauna pesa.

Amewafundisha kutumia ng'ombe zao kuongeza utajiri wao na kuwahamasisha watumie ng'ombe zao kibiashara kama kuuza maziwa na nyama.

''Museveni alipochukua urais wa Uganda miaka 33 iliyopita, Bahima hawakuwa wanajali elimu na watoto wao walikuwa wanaamka mapema kukamua na kulisha ngombe zao.

Museveni aliwalazimu kupeleka watoto shule na ahadi yakuwa watoto wao kazi watakapo maliza kusoma.

Ahadi hii imebadilika kuwa kweli miaka mingi baadaye na sasa, kuna Wahima wengi katika jeshi la polsi na Jeshi la taifa jhuku wengine wakifanya kazi katika idara mbalimbali za serikali.'', Anasema Profesa Peter Atekyereza -mtaalam wa tamaduni nchini Uganda.

Profesa Atekyereza, anasema kwa kutoa mfano Museveni binafsi alikuwa anakamua na kuuza maziwa ya ng'ombe zake na kuongeza kuwa kila moja ya maelfu ya ngombe zake hutoa hadi lita 25 za maziwa kila siku na ni kwa hizi ngomba ambapo utajiri wake umetoka.

Wahima ndio wanaoongoza kwa uuzaji maziwa nchini Uganda na karibu biashara yote ya maziwa ni yao karibu kila maeneo ya nchi Uganda.

Rais Museveni mwenye maelfu ya ng'ombe amekuwa akiwashauri Wahima wenzake kuuza baadhi ya ng'ombe zao na maziwa ili kujikimu kimaisha

Rais Museveni ambaye binafsi anamiliki maelfu ya ng'ombe amekuwa akiwashauri Wahima wenzake kuuza baadhi ya ng'ombe zao na maziwa ili kujikimu kimaisha
Miaka michache iliyopita, Wahima wameanza kulima na pia kutulia mahala pamoja na kufuga ngombe zao.

Ukipitia karibu na nyumba za Wahima katika wilaya za Ntungamo, Kiruhura na nyinginezo, haishangazi kuona mashamba ya ndizi.

Tofauti na makabila mengine ambayo utamaduni wao umeanza kupotea kwasababu ya kuoana na makabila mengine, kwa Mhima ni nadra sana kuoa au kuolewana mtu kutoka nje ya kabila lake.
 
Ng'ombe zao = ng'ombe wao! Kweli wewe ni Mhima ...vipi una uraia lakini!
 
Rais Museveni mwenye maelfu ya ng'ombe amekuwa akiwashauri Wahima wenzake kuuza baadhi ya ng'ombe zao na maziwa ili kujikimu kimaisha'ombe amekuwa akiwashauri Wahima wenzake kuuza baadhi ya ng'ombe zao na maziwa ili kujikimu kimaisha

Rais Museveni ambaye binafsi anamiliki maelfu ya ng'ombe amekuwa akiwashauri Wahima wenzake kuuza baadhi ya ng'ombe zao na maziwa ili kujikimu kimaisha
Miaka michache iliyopita, Wahima wameanza kulima na pia kutulia mahala pamoja na kufuga ngombe zao.

Ukipitia karibu na nyumba za Wahima katika wilaya za Ntungamo, Kiruhura na nyinginezo, haishangazi kuona mashamba ya ndizi.

Tofauti na makabila mengine ambayo utamaduni wao umeanza kupotea kwasababu ya kuoana na makabila mengine, kwa Mhima ni nadra sana kuoa au kuolewana mtu kutoka nje ya kabila lake.
Bairu not Biru
 
Asante kwa historia hii nzuri
 
Aiseh kina karajita,Bagaire,Tangale,chidudu,Lyarugo,Luzindwa!!!

Mama zangu,jomba zangu,Baby zangu!hukooo kaisho na unyambo wao was asili ya mbarara hukoo uganda wakituama pale kaisho,kaitambuzi,karagwe!!
 
Jamii zote ambazo kwa Asili zinatoka maeneo yenye Ukame,yasiyolimika ,ni wafugaji hodari ,
Watusi( kwa asili ethiopia,somali) ,wamaasai ,sudani hapo kuna kabila linaitwa Mundari na wadinka ,hayo maeneo ni semi dessert ,hivyo hayasuport kilimo kwa ufanisi,hivyo best option ni kufuga,ni utamaduni ya kigeographia
 
Back
Top Bottom