Utamaduni wa ushindani vyuo vya TZ

mtatifikolo

Member
Feb 9, 2008
43
7
Let us imagine it was UDSM Vs. Mzumbe Univ. in this clip:

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=FhFMYtA6Swc&feature=related[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=GGrIOU2YMgY&feature=related[/ame]
 
Ninakumbuka miaka ya nyuma kulikuwa na mashindano kati ya shule kwenye Hisabati. Ninakumbuka tulienda hadi Kilimanjaro hotel kushindana kimkoa. Leo hii utamaduni wa ushindani Tanzania upo katika "U-miss" na "uimbaji"
 
Kwa level za chini nadhani sio mbaya kukawa na mashindano kama haya ya kubonyeza kitufe na kuwahi kupayuka 'majibu'.

Lakini ktk level ya Varsity watu wanapaswa kupimwa kwa academic researches, sio kupayuka majibu. Kupayuka majibu sio uresearcher.

Nakumbuka kuna mkenya mmoja hapa JF alikuwa akijivunia eti wakenya wana elimu nzuri kuliko sisi eti tu kwa sababu ya Challenge ya Zain ya kupayuka majibu na kubonyeza kitufe. Nilimsare kwa sababu ni walewale hajui kuwa hajui.
 
Competition kama hizo za kwenye hiyo video ni kwa ajili ya Television. Kwahiyo ni kama entertainment fulani kwa watazamaji, na wakati huo huo inaonyesha upana wa ufahamu wa wanafunzi kutoka vyuo mbali mbali, kwahiyo sio tu upayukaji kama usemavyo.

Nchi za wenzetu kuna mashindano "serious" kati ya vyuo katika nyanya mbali mbali (angalia breakdown fupi chini). Sielewi unaanisha nini kwa mashindano ya U-researcher, mambo ya Research competition ya maana inafahamika kupitia publications na vitu kama hivyo.

mifano ya mashindano kati ya vyuo:

1. International Genetically Engineered Machine (iGEM) kwa wana baiyolojia.

[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/IGEM[/ame]

http://2010.igem.org/Main_Page

2. Putnam Mathematical Competition

http://math.scu.edu/putnam/

[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/William_Lowell_Putnam_Mathematical_Competition[/ame]

mfano wa maswali: "Suppose that a finite group has exaactly n elements of order p, where p is a prime. Prove that either n=0 or p divides n+1"

etc etc
 
Kwa level za chini nadhani sio mbaya kukawa na mashindano kama haya ya kubonyeza kitufe na kuwahi kupayuka 'majibu'.

Lakini ktk level ya Varsity watu wanapaswa kupimwa kwa academic researches, sio kupayuka majibu. Kupayuka majibu sio uresearcher.

Nakumbuka kuna mkenya mmoja hapa JF alikuwa akijivunia eti wakenya wana elimu nzuri kuliko sisi eti tu kwa sababu ya Challenge ya Zain ya kupayuka majibu na kubonyeza kitufe. Nilimsare kwa sababu ni walewale hajui kuwa hajui.

kweli kabisa, umemaliza kila kitu mkuu!!!!!!!

elimu ya kiwango cha chuo kikuu haiwezi kutathminiwa kwa koropoka hara zaidi ya wengine!

unajua hata yale ya sijui first, uper second sijui nini tena mie siyaheshimu sana, kuna watu wana pass tu lakini vichwa ajabu, ukimpa challenge fulani anaikabili kuliko hata yule wa first class..........

mitihani yenyewe ya bongo ile, inatest kukariri majibu tu, hapo hujakutana na masuala ya nipe nikupe, yaani elimu yetu, we acha tu !!!!!!!!
 
Back
Top Bottom