Utamaduni wa nchi gani unakuvutia zaidi?

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,006
1,025
as the first one, Napenda Kungfu, hivyo nachagua China. jamani unasemaje?
 
napenda sana kuona mabinti wa kibrazil wanapokuwa wakilisakata salsa, nachagua brasil..
 
Napenda saaana utamaduni wa wanawake wa kirundi hivyo nachagua Burundi
 
Tanzania!!!. Nchi yenye utamaduni wa kuwasifu mafisadi kwamba ni wajanja na maskini ambao ndio wengi kujivunia uwepo wao wakiwa hai kwani hudhania ni fadhila za watawala zilizowaacha hai.
 
Iran and North korea:
Hakuna sababu ya kujipendekeza kwa capitalists countries, endeleza uchumi wake kwa kutumia watu wake na resources zake, misaada, aids, blah blah, kuombaomba NO.
 
Iran and North korea:
Hakuna sababu ya kujipendekeza kwa capitalists countries, endeleza uchumi wake kwa kutumia watu wake na resources zake, misaada, aids, blah blah, kuombaomba NO.
Labda hujui hali halisi ya North Korea, rafiki yangu aliwahi kweda huko, aliona umasiki wa nchi hiyo. Nchi yoyote inayokataa kuwasiliana na nyingine iko nyuma sasa, utandawazi ni njia pekee.
 
American culture jamani zimekolea kwangu.kl mtu na ustaarabu wake,kujua maisha ya mtu binafsi no unless umemwelezea peke yake.they are so fun,free,i don't know what can i.......
 
kwa kweli Nigeria wale wavulana wao nikiwaangalia roho kwatuuu, nachagua Nigeria
 
..........Utamaduni wa nchi yangu unanivutia, watu tunaishi kindugu hata kama makabila ni tofauti au dini tofauti.
Utamaduni wetu mzuri hakuna stress za ajabu ajabu, hata kama upo mbali na ndugu zako, jirani yako ndio atakuwa ndugu yako kama.
Heshima kati ya mtoto au mzazi, nchi nyingine haswa ughaibuni watoto hawana hata heshima kwa mzazi wake au mkubwa wake.
Utamaduni wetu wa kumjali mzazi, kumsaidia mzazi kipindi ambacho hajiwezi kipesa au nguvu. Utamaduni wetu mzuri bana..............lol
 
........Preta bana umeona handsome boy wa nigeria tu, Desmond elliot.....hahahah au?

si ndio kuna Emeka Ike, Chidi, Jimmy Ike, Ramsey na wengine wengi hapo lazima ukiwa unadumisha mila uongee kila kitu (things women say when....)
 
Nachagua 'Mbinguni' kule ni kula, kunywa, kuimba nyimbo za kumsifu Bw. God, hakuna njaa, maradhi (Ukimwi/AIDS, Kipindu x 2, n.k.), hakuna mafisadi, yaani ni raha kwa kwenda mbele (Mungu nisaidie nifike huko)
 
kwa kweli Nigeria wale wavulana wao nikiwaangalia roho kwatuuu, nachagua Nigeria

Preta wale wananigeria ni mataperi sana wale
harafu hao mahendsome boy kabla ya kucheza move wanaingia kwanza saloon kupiga mapowder mafacial nk nk kuna mmoja tu huwa yuko natural kabisa nikimuona nafurahia movie zaidi
kuna kaka alisema akipewa na haka ka dada ka Nigeria ni kavu kavu ;)
genevieveN1.jpg

mapowder sijui
van-vicker.jpg
 
ila kusema kweli FL1 majamaa yametulia yani kinachomatter hapo zaidi ni ma-body yu noo wor ai miiin
 
si ndio kuna Emeka Ike, Chidi, Jimmy Ike, Ramsey na wengine wengi hapo lazima ukiwa unadumisha mila uongee kila kitu (things women say when....)

Preta majina yangu kwa urefu ni Okonkwo Amadi Soulbrother Ike
Nikutumie picha ili uweze kuupenda utamaduni wangu?
 
Naipenda tanzania!! Ukiiba mali za uma unaitwa umefanya uamuzi wa kishujaa. Ukivunja nyumba unaitwa jambazi!!
 
Back
Top Bottom