Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,781
- 3,074
kinachonishangaza mpaka sasa sijui kwa nini unatumia nguvu nyingi kupinga nilichoandika, kama unaona kwako hakifai kaa kimya kuna wenzako zaidi ya 50 wameshajichukulia. Acha negativity mkuu, hakuna mashindano hapa.kama unaona pages 200 na ushei ni chache ni kwasababu una culture ya kusoma vitabu but for those who r not utasubiri sana na kuhusu jina nnalotumia lisikuumize kichwa wala usihoji coz its non of ur bisnes librarian na kingine usije ukajidanganya kwa kujitapa eti unaweza kuwatoa wabongo kwa vitabu vilivyoandikwa na westerners na vilivyozingatia uchumi na mazingira yao acha kutuletea hizo pretitude andika cha kwako poor boy, am out
mahali ambapo watanzania wananishangaza ni hapa, wanaiga maisha ya wazungu, vyakula vya wazungu, mitindo ya mavazi ya wazungu, lugha ya wazungu, tamthilia za wazungu, miziki ya wazungu ila ukiwaambie tuige njia wazungu wanazotumia kufanikiwa wanakwambia mazingira yetu ni tofauti hivyo haiwezekani.