Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,884
Wazee wa Kihaya wakipata pombe aina ya Olubisi ikiwa katika Ekilele (Kibuyu) huku wakifyonza kwa kutumia Olusheke (Mrija - straw).
Wazee wa Kihaya wakipata pombe aina ya Olubisi ikiwa katika Ekilele (Kibuyu) huku wakifyonza kwa kutumia Olusheke (Mrija - straw).
Kukiwa na mende ndani ya kibuyu utamwonaje kama si kummeza pamoja na pombe na kushtukia tu mikwaruzo anapopita shingoni?
Kukiwa na mende ndani ya kibuyu utamwonaje kama si kummeza pamoja na pombe na kushtukia tu mikwaruzo anapopita shingoni?
Mkuu usafi ni wa hali ya juu saana unaweza kuona hata nje ya hicho kilele jinsi kinavyo n'ghaa, vinaoshwa kwa umakini baada ya kutumia, halafu vinatundikwa kwenye ekiteko na kufunikwa na eshisha au moses reels!!!Mkuu nimekumbuka mbali ahsante saana!!!
Kukiwa na mende ndani ya kibuyu utamwonaje kama si kummeza pamoja na pombe na kushtukia tu mikwaruzo anapopita shingoni?
Kumbe kunywa pombe nayo ni utamaduni
Kumbe kunywa pombe nayo ni utamaduni
Pia mwanamke si ruhusa kutumia EKILELE...Ni kwa ajili ya wababa watu wazima walio oa basi.MBAKASINGE WAITU,,,,,Ndugu yangu hapo kwenye EKILELE mende hawezi kuingia maana kuna utamaduni wa utunzaji ambao hata vumbi halingii maana baada ya kusafisha kuna zana za kutunzia kama EBITEEKO, ENSINDI na aina nyingine. Pia vibuyu hivi wanatumia rika hilo ulionalo kwenye picha lakini pia ukishaoa ni ruhusa kunatumia. Utamaduni huu ni safi sana.
KULE KWETU MOSHI TUNATUMIA HIKI HAPO aka.ALBUM...Usishangae MadameX kuna makabila hiyo ni sehemu ya utamaduni wao,mfano mimi nilitembelea sehemu za Mwika mwanzoni mwa miaka ya 90 nikakaribishwa mbege,nilipoikataa mwenyeji wangu akashangaa,Yesuu!! hivi dunia hii kuna mtu ambaye hanywi mbege??
Huyo mzee wa katikakati kama namfananisha na Baba yake na RUTASHUBANYUMA vile? Au?