Utalii waingiza Trillion 4

ambwilikiti

JF-Expert Member
Feb 2, 2014
204
59
Wakati Serikali inaintroduce tozo za vati kwenyewe utalii kuna waliobeza Tozo ya vati kwenyewe utalii.Sasa Lema sijui ataongea nini maana kaprove wrong!!! Aibuuu sana Kwa makampuni ya utalii yaliyobeza tozo hiyo na kusema inaenda kuua utalii.
 
Kabla ya tozo (Vat) ilikuwa inaingiza kiasi gani?
 
Jina lako tu unaonekana zoba. Huna uthibitisho wowote unajoropokea tu. Hoja dhaifu kabisa ya leo
 
Wakati Serikali inaintroduce tozo za vati kwenyewe utalii kuna waliobeza Tozo ya vati kwenyewe utalii.Sasa Lema sijui ataongea nini maana kaprove wrong!!! Aibuuu sana Kwa makampuni ya utalii yaliyobeza tozo hiyo na kusema inaenda kuua utalii.
51178fdea54d3c04950c109c9e6f09e5.jpg
 
Hivi hizo hela wanazojitapa kukusanya kila wakati, huwa zinaenda wapi? Maana huku mtaani hazionekani
 
Wakati Serikali inaintroduce tozo za vati kwenyewe utalii kuna waliobeza Tozo ya vati kwenyewe utalii.Sasa Lema sijui ataongea nini maana kaprove wrong!!! Aibuuu sana Kwa makampuni ya utalii yaliyobeza tozo hiyo na kusema inaenda kuua utalii.
Habari haijakamilika,ulitakiwa kuweka habari yenyewe na chanzo chake
mwisho utoe mawazo yako.Sasa umeandika kichwa cha habari
na hapo hapo ukatoa mawazo yako,tutofautisheje habari yako
na ya mtu aliyeota ndoto kisha akaiita habari?
 
Kumbe hela yenyewe iliyokusanywa imeisha tumika zamaani zile kabla sijazaliwa!?

Mleta uzi, Shenzitype kabisa weye.
 
Wakati Serikali inaintroduce tozo za vati kwenyewe utalii kuna waliobeza Tozo ya vati kwenyewe utalii.Sasa Lema sijui ataongea nini maana kaprove wrong!!! Aibuuu sana Kwa makampuni ya utalii yaliyobeza tozo hiyo na kusema inaenda kuua utalii.
Badala ulete taarifa, wewe unaleta majungu. Boresha uzi wako. Ulianza na title nzuri. Embu toa Lema hapo alafu jikite kwenye kuelezea hayo mapato ya trilion nne.
 
Serikali inajitahidi kuboresha uchumi wake sema kuna mijitu ilishajitoa ufaham kazi kulia lia tu pia kuping kila kitu watu kama hao hata kwao hawana strategic plan ya kaisha yy kupinga na uchadema uliojaa ujinga ujinga tu, mungu abaliki serikali ya jpm hao wajinga watapotea tu mtu unaongea bila kuwa na facts bora utukane uonekane umechangia si kila threads uchangie
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom