Utalii Tanzania: Diamond Platnumz aipiga dongo serikali, adai haiwekezi kwa wasanii kutangaza utalii

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Diamond Platnumz akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds 360, ameulizwa swali kuhusu wasanii kutangaza utalii wa Tanzania. Katika majibu yake amesema kuwa serikali imeshindwa kuwekeza pesa kwa wasanii ili kutangaza utalii na badala yake wanapoteza pesa nyingi kwa taasisi za nje.

Amesema kuwa kwa South Africa kupitia board yao ya utalii wana utaratibu mzuri na wamewekeza kuhakikisha utalii wao unatangazwa na ndio maana hata yeye ametumiwa kuutangaza utalii wa South Africa.

Amesema kwa hapa Tanzania alishawahi ku-apply TANAPA ili kuvitangaza vivutio vya kitalii Tanzania lakini mwisho wa siku akapigwa danadana na kuambiwa yeye inabidi ajitolee kuwa Goodwill Ambassador, sasa unakuwaje goodwill ambassador wakati unatakiwa kuwekeza kwenye kutangaza vivutio!! Unahitaji salio kwenye simu, nauli nk!!

Anasema serikali haioni thamani ya Mtanzania kabisa, wakati wasanii wana wafuasi wengi wa ndani na kimataifa kwenye mitandao ya kijamii ambayo wangeitumia kutangaza utalii.

Pia amesema suala la ku-shoot video Tanzania kuna vikwazo vingi sana kama kupata maeneo na nyenzo nyingine. Hivyo wasanii kutumia gharama kubwa kutangaza vivutio vya South Africa kwenye video zao.

Huku Tanzania hata ukitaka ku-shoot na simba utaambiwa NYARA ya Serikali.

USHAURI WA Chachu Ombara
Serikali iache ubahiri na iwekeze kwa wasanii wenye majina makubwa. Haiingii akilini Nyalandu asafiri na Aunty Ezekiel halafu washindwe kumlipa Mond au Kiba kuutangaza utalii.

Huu uzembe ndio ulisababisha hadi Mjomba Mpoto kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya Kiswahili. Masoud Kipanya naye siku hizi anatangaza utalii wa Afrika Kusini. Jamani nalo hili tunashindwa sasa sisi tunajua nini!! Ndio maana Kenya wanatangaza vivutia vya Tanzania wakisema ni vya Kenya, sisi tunabaki kulialia.
 
Serikali haina habari na hilo..

Wapo busy wanajadili ilikuwaje Lema amepewa dhamana..

Rais yupo busy anahubiri chuki na uadui miongoni mwa wabunge wa CCM na wa upinzani..

Inatia simanzi sana.
 
Si mnasemaga hamtaki kuitazama TV ya Wafu Clouds?
 
Diamond Platnumz akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds 360, ameulizwa swali kuhusu wasanii kutangaza utalii wa Tanzania. Katika majibu yake amesema kuwa serikali imeshindwa kuwekeza pesa kwa wasanii ili kutangaza utalii na badala yake wanapoteza pesa nyingi kwa taasisi za nje.

Amesema kuwa kwa South Africa kupitia board yao ya utalii wana utaratibu mzuri na wamewekeza kuhakikisha utalii wao unatangazwa na ndio maana hata yeye ametumiwa kuutangaza utalii wa South Africa.

Amesema kwa hapa Tanzania alishawahi ku-apply TANAPA ili kuvitangaza vivutio vya kitalii Tanzania lakini mwisho wa siku akapigwa danadana na kuambiwa yeye inabidi ajitolee kuwa Goodwill Ambassador, sasa unakuwaje goodwill ambassador wakati unatakiwa kuwekeza kwenye kutangaza vivutio!! Unahitaji salio kwenye simu, nauli nk!!

Anasema serikali haioni thamani ya Mtanzania kabisa, wakati wasanii wana wafuasi wengi wa ndani na kimataifa kwenye mitandao ya kijamii ambayo wangeitumia kutangaza utalii.

Pia amesema suala la ku-shoot video Tanzania kuna vikwazo vingi sana kama kupata maeneo na nyenzo nyingine. Hivyo wasanii kutumia gharama kubwa kutangaza vivutio vya South Africa kwenye video zao.

Huku Tanzania hata ukitaka ku-shoot na simba utaambiwa NYARA ya Serikali.

USHAURI WA Chachu Ombara
Serikali iache ubahiri na iwekeze kwa wasanii wenye majina makubwa. Haiingii akilini Nyalandu asafiri na Aunty Ezekiel halafu washindwe kumlipa Mond au Kiba kuutangaza utalii.

Huu uzembe ndio ulisababisha hadi Mjomba Mpoto kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya Kiswahili. Masoud Kipanya naye siku hizi anatangaza utalii wa Afrika Kusini. Jamani nalo hili tunashindwa sasa sisi tunajua nini!! Ndio maana Kenya wanatangaza vivutia vya Tanzania wakisema ni vya Kenya, sisi tunabaki kulialia.
Umeandika yale yanayokufurahisha tu. Kama uko objective, andika pia kuwa Rais Magufuli kapiga simu Diamond/Clouds TV na kuahidi kuyafanyia kazi hizo changamoto alizoziibua.
 
Kuna njia nyingine wasanii wakishavuma wanakiwa kuwa na kampuni zao za utalii akifanya onyesho anaanza kutangaza utalii na kuitangaza kampuni yake ambayo watalii wataitumia kuja nchini si tu kuona vivutio bali pia kuburudishwa na Diamond .Kikombe cha babu angekuwa nna kampuni yake ya utalii angevutia yote mawili utalii na kikombe. Njoo upate kikombe na upate nafasi ya kuona maajabu ya mbuga zetu baaada ya kupata kikombe. Diamond alipofika hahitaji kujikomba tanapa wamlipe pesa ya vocha aanzishe kampuni ya utaliii au aingie mikataba na makampuni binafsi ya utalii ya ndani au ya nje yanayoleta watalii Tanzania atapata pesa nyingi za kudumu kuliko kuhangaika na Tanapa
 
Domo la ng'ombe akamalizana na yule jamaa anayemdinyia my wife wake mpaka kamfotokopi.

ANATUAIBISHA WANAUME WA KITANZANIA.
 
Back
Top Bottom