Utakuta mtumishi wa NSSF anamjibu mwanachama wa mfuko,kwa sasa ni muda wa kula

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Hili limetokea pale Nssf Ubungo
utakuta mtumishi anamjibu mwanachama wa mfuko,kwa sasa ni muda wa kula kuanzia saa7 mpaka 8.30 mchana, lisaa 1.30 , na kati ya hao wanaohitaji huduma hapo ofisini kuna wagonjwa waliofuata barua za matibabu ili wakatibiwe na bima ya Nssf ilibidi tumchangie mgonjwa pesa akatibiwe......yapo mengi sana sijui mpaka mkuu apige ziara huko siku moja .....
 
Andika vizur kitu kieleweke ...unaweza kuwa na mawazo mazuri lakin namna ya uandishi ukaharibu kila kitu....
 
NSSF NI JIPU HELA ZETU KUPATA TU UNAZUNGUSHWA KILA SIKU UNAPEWA TAREHE MPYA.
 
Nina 28m pale na nimezisusa ... Ccm wasilianeni na nssf wawape hiyo hela mtunishe mfuko was chama .
 
Back
Top Bottom