Utajuaje mwanaume anakupenda au siyo?

Msaada tafadhali.. Ikiwa umekuwa katika mahusiano na mwanaume in the first place..then kama akabadilika fulani.. Halafu ikafika mahali ukamwuliza..je hivi unanipenda au vipi? Akakujibu "hilo ni swali gumu". Je, possibility kubwa ni nini? Naombeni majibu plz..
Upendo ni vitendo sio maneno.naweza nikawa na mwanamke.lakini hata Siku moja sijawahi kumwambia kuwa nampenda. Mkijua kuwa mnapendwa mnaringa sana
 
Ili ujue kama anapenda inategemea na wewe unayesaka pendo unahitaji nini kutoka kwake...ie; pesa, malavidavi,kipigo...nk. ukishajua ilo basi jibu utalipata.
 
Swali hilo ungemuuliza mwanzoni angekujibu unavyotaka wewe. By the way mapenzi kwa mwanaume huwa makubwa hajakupata na huzidi kushuka mahusiano yanapoanza na yanaweza kufa kama mwanamke utavyozidi kufanya yasiyo mpendeza mwenzi wako.inakubidi ufanye research ujue hates na likes za mwenzi wako pia ujifunze tabia azipendazo
 
Ok...kweli mapenzi mtihani!!
 
Katika mapenzi hakuna cha kukalili,kila mtu ana namna yake ya kuonesha mapenzi kwa ampendae....mapenzi sio hesabu solving formula hubaki constant daima!,
 
Msaada tafadhali.. Ikiwa umekuwa katika mahusiano na mwanaume in the first place..then kama akabadilika fulani.. Halafu ikafika mahali ukamwuliza..je hivi unanipenda au vipi? Akakujibu "hilo ni swali gumu". Je, possibility kubwa ni nini? Naombeni majibu plz..
Elezea amebadirika kivipi
 
Vumilia na take time utajua kwa nn?? Mambo mengine yanahitaji mda.
 
Back
Top Bottom