Utajuaje kuwa anakupenda au anakutumia tu....?

Mi Mwana naweza kusema wewe ulikurupuka kuolewa na huyo jamaa.
Ulitakiwa mkae hata miaka mkichunguzana lakini wewe ulipo pewa ofa ya kuolewa basi ukanywea haya ndo madhara yake na kama umefunga harusi ya kanisani we vumilia tu jikaze kisabuni mpaka jamaa awe na mvi ndo utapumua.

Na kweli niliharakisha kujimovuzisha kwake mbona cha moto nakiona!. Ila si ushanambia kuwa nawezachomoka? Nilichokuwa nataka kwenu ni kuona kama nilikuwa sawa kumfikiria ninavyomfikiria, kujua kama hizo alizonazo yeye ni dalili za mtumiaji. Aksate
 
...Fidel80, huyo ni mchumba tu, ndoa yao matarajio ni July... lakini hali nionavyo hapa huenda tusiile pilau siku hiyo ilhali nilishajiandaa...
Mkubwa hata mimi naona kuwa huyu mama anataka kutunyima Pilau...teh..teh..
 
...Fidel80, huyo ni mchumba tu, ndoa yao matarajio ni July... lakini hali nionavyo hapa huenda tusiile pilau siku hiyo ilhali nilishajiandaa...

Kumbeeeeeeeeeee ndo maana ya zile BIG NO kule juu. Ama ckujua ati. Usiwe na wasiwasi utaandaliwa japo kapilau ka saizi yako. Ila zidisha duwa hili la kuachana lisitokee.
Mungu ni Mwema Daima ataonyesha njia.
 
Na kweli niliharakisha kujimovuzisha kwake mbona cha moto nakiona!. Ila si ushanambia kuwa nawezachomoka? Nilichokuwa nataka kwenu ni kuona kama nilikuwa sawa kumfikiria ninavyomfikiria, kujua kama hizo alizonazo yeye ni dalili za mtumiaji. Aksate
Ukitaka hiyo ndoa ya July mama ondoka hapo,provided kama hamjazaa.
Lakini kama ni kinyume chake inaweza kula kwako.

Kwa kawaida mtu ukionja utamu, halafu ukaondoka na ukahisi utamu huo utaondoka kabisa, lazima uchukue na kuweka ndani faster.
 
...Fidel80, huyo ni mchumba tu, ndoa yao matarajio ni July... lakini hali nionavyo hapa huenda tusiile pilau siku hiyo ilhali nilishajiandaa...

kujiandaa kwako ndio kusababishe mwenzio ngoma aicheze kuipande upande? Mbu? eeh baba.
 
Vyote vikishindikana unatumia maji ya moto ama? Ha haaa!
Akitumia X-Pel ama Doom au Raid hata wewe Mbu utakuwa mashakani.
Asante mkuu kwa ushauri
MJ1 haya tumia dawa hizo umepewa.
Halafu wewe mdau hujatulia hata kidogo.
 
MJ1 sio kama nakugeuka ila nilikuwa napita humu nikakuta kule kwenye ile thread fulani ya "Niguse hapa" unadai hajagundua viamsho vyako hujui viko wapi. Yaani uguswe wapi ndo usikie raha. Usije ukakuta wewe ndo mwenye matatizo dadangu. Ukute jamaa hakusikii hata kuguna maana unasema saa nyingine huwa unahisi kama unaadhibiwa!
 
...Fidel80, huyo ni mchumba tu, ndoa yao matarajio ni July... lakini hali nionavyo hapa huenda tusiile pilau siku hiyo ilhali nilishajiandaa...

hahahaha mkuu Mbu sasa sielewi kama tayari wamesha piga pingu au ndo hivyo wanafugana tu....
 
MJ1 sio kama nakugeuka ila nilikuwa napita humu nikakuta kule kwenye ile thread fulani ya "Niguse hapa" unadai hajagundua viamsho vyako hujui viko wapi. Yaani uguswe wapi ndo usikie raha. Usije ukakuta wewe ndo mwenye matatizo dadangu. Ukute jamaa hakusikii hata kuguna maana unasema saa nyingine huwa unahisi kama unaadhibiwa!

Hapo dada wala sina tatizo kama swala ni kumfurahisha huwa nafanya huku nikijua kabisa wajibu wangu kama mwanamke katika nyanja hiyo. Dada amini usiamini pamoja na kuwa mie sisikii kitu najua sana kufake ikaonekana ni really maana huwa mpaka analia inabidi tuwe tunafungulia na kajiredio kwa chati mwaya majirani wasifaidi ila mie ndo huwa nabaki kapa.

Hii tena ni topic nyingine wenzangu. Mh
 
Unanikumbusha kuna habari moja ya mtu aliyeshitakiwa mahakamani kufanya mapenzi na maiti ambayo ni mkewe.

Siku zote yule mama alikuwa anamwacha mdau akijivinjari kivyake usiku, huku yeye amelala fofofo.

Sasa siku umauti ulipomfika huyo mama ,mdau hakujua, kaendelea kukandamiza without knowing kuwa mama hayupo tena.
 
Hapo dada wala sina tatizo kama swala ni kumfurahisha huwa nafanya huku nikijua kabisa wajibu wangu kama mwanamke katika nyanja hiyo. Dada amini usiamini pamoja na kuwa mie sisikii kitu najua sana kufake ikaonekana ni really maana huwa mpaka analia inabidi tuwe tunafungulia na kajiredio kwa chati mwaya majirani wasifaidi ila mie ndo huwa nabaki kapa.

Hii tena ni topic nyingine wenzangu. Mh
Mhh.. I AM INTERESTED.
 
Euwiiiiiiiiiiiiiiiii,,,, sahihisha hapo mimi ni "BABA" dadaangu. Hicho ni kibwagizo cha kichagga. Pole kwa kubaki kapa. Lakini Mapenzi sio maigizo ni real game. Sasa angalia yanakumaliza! Now kama ni hivyo basi nimegundua kuwa una matatizo. na la kwanza kurekebisha ni hilo. Cheza mchezo wa kweli acha kuigiza. Anza leo kisha twambie kama jamaa hatarudi kundini!
 
kujiandaa kwako ndio kusababishe mwenzio ngoma aicheze kuipande upande? Mbu? eeh baba.

...:) la hasha nyamayao,...

zamani wazazi wetu harusi ilikuwa kusherehekea wawili walioamua kuishi pamoja, kwa shida na raha, kwa uzima na ugonjwa, kwa dhiki na faraja, mpaka kifo kitapowatenganisha...

Ndoa za kisasa tunasherehekea wawili wanaobahatisha kuishi pamoja kwa raha, uzima na faraja mpaka shida, ugonjwa au dhiki zitapowatenganisha. Nilidhani harusi ya dada'ngu itakuwa kama ilivyokuwa ya wazazi wetu! :(
 
Mhh.. I AM INTERESTED.

. Please dont kwa sababu hii ni topic nyingine kabisa nisijejikuta nasema yote then kama huwa anapitiaga humu akanisue bure kwa kuweka siri zake uwani but amini tu kuwa yeye kama yeye anaenjoy ikifika maeneo hayo. Na hicho ndicho kitu kinachomfanya ajichekeshechekeshe kama tumenuniana. Ukishamwona tu anakuja na viwine, vizawadi kama mlikuwa mmegombana au alikuwa amekununia basi ujue usiku kuna shughuli ya kufanya.

I'm ending here......:)
 
So unajiandaa ama?
 
Euwiiiiiiiiiiiiiiiii,,,, sahihisha hapo mimi ni "BABA" dadaangu. Hicho ni kibwagizo cha kichagga. Pole kwa kubaki kapa. Lakini Mapenzi sio maigizo ni real game. Sasa angalia yanakumaliza! Now kama ni hivyo basi nimegundua kuwa una matatizo. na la kwanza kurekebisha ni hilo. Cheza mchezo wa kweli acha kuigiza. Anza leo kisha twambie kama jamaa hatarudi kundini!

Nisamehe shemeji uwiii.

haya ntajirekebisha
 
Hapo dada wala sina tatizo kama swala ni kumfurahisha huwa nafanya huku nikijua kabisa wajibu wangu kama mwanamke katika nyanja hiyo. Dada amini usiamini pamoja na kuwa mie sisikii kitu najua sana kufake ikaonekana ni really maana huwa mpaka analia inabidi tuwe tunafungulia na kajiredio kwa chati mwaya majirani wasifaidi ila mie ndo huwa nabaki kapa.

Hii tena ni topic nyingine wenzangu. Mh

...Jinsi ninavyochukia mwanamke anaye fake orgasm! yaani ni sawa na kununua bidhaa ya china tu, the 'whole package is of poor quality,' aarrrgghhhh :( ,...how come some men cannot tell the difference?
 
Nisamehe shemeji uwiii.

haya ntajirekebisha

Yele woomi
Ina maana huyu jamaa ni Mangi?
Haya shemeji, chukua taadhari
Wachagga wakijua mapenzi ni hatari sana.
Jamaa alionjeshwa ile kampuni ya.....express yourself, kurudi tu kijijini kwa hija ya December kataka express yourself. Kesi ilikuwa kubwa huko asikwambie mtu. Mama unasema mumeo kakwambiaje? Anataka kule kwingine wasee wangu,,,, wapi huko? kule jirani na nyumba ya mtoto,,,,,wacha wazee hawakuweza kumaliza kesi,,,waliondoka. Lakini jamaa mpaka sasa anaishi na mkewe maana kesi alisuluisha mwenyewe.
 
Back
Top Bottom